Tanzania's Presidential Protection Unit (PPU)

Tanzania's Presidential Protection Unit (PPU)

wanakwenda kazini kusoma magezeti tu! They are not aware of what is really going on.
Halafu kazi yao siku hizi imerahisishwa sana. Ukiweza kupiga domo, hata kama ni umbeya you become fit for the job.
Mi nafikiri tungewapa heshima kubwa kama wangekuwa ndio wazuiaji wa madili yanayoriharibu Taifa na kuwaona wako mstari wa mbele kutetea interest zake kwenye mambo kama biashara na uchumi.
Kwa sasa wanisamehe...nawaona kama ni polisi wa kawaida, na cha zaidi walichonacho ni uwezo wa kupiga domo kwamba wanajua hili, wanamjua mtu huyu, wanatembelea nchi hii. They dont add any value to this country,labda kwa business partners wao ambao wengi ni mafisadi.Lol
 
Duuh, hii kali.

ndahani it is true, nenda mikocheni pale kituo cha Tanesco almaarufu mikocheni chama. Ingia hapo uswahilini kwa wapiga gongo, gongo inauzwa wazi na polisi hawawezi fanya cho chote because wateja ni hawahawa PPU wetu.
 
kazi za usalama wa taifa bongo zinatolewa kindugu
sasa utakuta nchi inalindwa na watu wa kabila moja au marafiki tu!
 
Waheshimiwa wana-jf, Mbona mmemkwepa Kibunago na kukimbikilia kwa Mlende? Au kwasababu mnapenda kazi za mbwembwe na swali la Kibunago linajumuisha hiyo PPU Kwangu swali la KIbunago linafaa zaidi kujadiliwa humu jukwaani kwani ni pana ilijumuisha ulinzi wa rais na vitengo vingine vya UWT (TISS). Plz tuijadili idara yetu kwa upana wake kwani naamini ujumbe utawafikia na huenda mambo yakkarekebishwa kwa faida ya watanzania wote. Mambo ya kusema kazi yao ni kunywa gongo tu si haki hata kidogo. Plz let us be fair
 
Bazazu,

It doesn't matter where a point is discussed as to the fact it is discussed, or does it?
 
PPU wa sasa wanafaida na JK kwani trip za Ulaya nyingi!Per diem na suit za kuvaa top class!

Museveni ni half mtusi,unajua Waganda wengi hawamtaki,sasa jeshi ,walinzi wake wengi ni toka kabila lake.Hata mtoto wake,Muhozi, alimpeleka Sandhurst UK,naye yuko katika kikosi cha kumlinda baba yake
 
In other words, does Tanzania have 'Counter-Espionage' unit? Or, which unit is responsible to counter economic espionage, for instance? Or as long as the president is safe, no more duties for them?
 
Naona maswali mengine mnayaleta humu Jamvini hakuna wa kuyajibu....
 
wanakwenda kazini kusoma magezeti tu! They are not aware of what is really going on.

hii inaweza kuwa na ukweli, unajua inashangaza kwa raisi wa nchi kutembea barabarani mpaka usiku na kufikia hatua ya kurushiwa mawe (Mbeye), sasa hayo yalikuwa ni mawe je kama wangekuwa na silaha za kijeshi?
raisi wa nchi anapelekwa kwenye deal za kijinga kabisa (zinduka-maralia), hivi hata usalama wa taifa wanashindwa kujua ni wapi pa kumpeleka Raisi, hivi kweli Tazara ni sehemu sahihi kabisa? inakuwaje sehemu ya kampeni watu watozwe pesa, ina maana hao watu wa usalama hawakuifatilia hiyo consert before kujua kama hiyo ni biashara na raisi hapaswi kwenda
Kuna upupu mwingi sana kwenye hii idara
 
Kenya usalama wa taifa wao unapelekwa kisomi zaidi. Niliona tangazo la kazi ya usalama wa taifa kenya KWENYE GAZETI.
bongo kazi katika nyanja hiyo wanapeana kwa kujuana na hawaangalii taaluma! wanaangalia sometime uwezo wa mtu binafsi!
 
bongo kazi katika nyanja hiyo wanapeana kwa kujuana na hawaangalii taaluma! wanaangalia sometime uwezo wa mtu binafsi!

...sasa pape,
kwenye ajira yeyote kwanza si unaangalia 'uwezo' wa mtu, unamuajiri, kisha unamfundisha taaluma? au? 🙂
 
...duh? haya bana. Ndio u -'undercover' wenyewe huo 😀

Serikali waweke mambo wazi wa kuapply...binafsi nimeshuhudia tv's na magari na bidhaa kadhalika zinashushwa kwa mtumbwi kwenye beach fulani! Sasa i dont wanna imagine what goes on our easter boarders! But usalama tanzania umekaa kimaslahi ya wakuu sana...issue ya zinduka na ufunguzi wa hoteli arusha ni aibu kwa usalama clearly kuna mtu hajafanya kazi yake ata kama raisi alitaka kwenda ni maslahi ya nchi wana guvu ya kumstopisha! Jana nilikuwa aangalia top gear ..jay leno was the guest akasema wakati obama anakuja kwenye show yake kama candidate kulikuwa hamna security checks wala nini lakini alipokuwa raisi CIA ilipiga back ground check kila mfanyakazi kwenye show ile..na watu kadhaa waliambiwa bila sababu yoyote wasije kazini siku ile ya interview! Ndo ujiulize hapo!
 
Serikali waweke mambo wazi wa kuapply...binafsi nimeshuhudia tv's na magari na bidhaa kadhalika zinashushwa kwa mtumbwi kwenye beach fulani!.!

...jukumu lako kama raia ulitakiwa kuripoti hilo haraka iwezekanavyo wahusika wachukuliwe hatua, informers pia wapo kwenye 'payroll'. 🙂
 
Back
Top Bottom