comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,951
Daah upupu unamwagwa kwenye maji ya kuchambia aaah, acha pusi ainame daah ndege kongo'ta hugonga kwa kelele tembo hataki kusikia Mmmmaa!!!!!! kula gwala
Does Tanzania have special unit for the protection of the President? (Presidential Protection Unit, PPU)? Or is "Usalama wa Taifa" one big PPU?
Apart from PPU duties, does 'usalama wa taifa' have anything else THEY know they are supposed to be doing?
How do we gauge SUCCESS of those non-PPU duties?
For instance, Uganda wana PPU, kazi yake kumlinda Museveni na walio karibu naye. This frees up the rest of usalama wa taifa uganda. Kwa mfano, Uganda wana counter-espionage unit ambayo ina operate outside Uganda.
Kenya usalama wa taifa wao unapelekwa kisomi zaidi. Niliona tangazo la kazi ya usalama wa taifa kenya KWENYE GAZETI.
InterestingDo you mean that you did NOT understand my question?
Mimi naona hatuna rais, tuna rais jina, sasa inakuwa vigumu hata vitengo vingine vya rais kuwapo, maana rais mwenyewe kutwa kupunga madogoli na ngoma, misiba, kuzurura.Kuzurura kwenyewe not only hana data, anakosa hata common courtesy ya kujua kwamba kama mtu kapewa floor na moderator hutakiwi kumuingilia (angalia video ya Davos). Aibu tupu.
Hatuna rais.
Sasa usitegemee huyu non-president akaenda kuweka mikakati ya ulinzi and all that jazz.
Nchi iko kwenye autopilot hii, siku itakapokuja kuhitaji mtu wa kufanya manouvres za landing ndipo mtakapoona utupu wa Kikwete kwa undani.
And don't let nobody give you that "rais anafaa ila anaangushwa na watendaji wake" crap. It is so tired.