Tanzanian 2007 Person of the Year

Mimi namchagua Lydia Ngosha, kwasababu anajua kushika mitambo vizuri studio. Bila yeye huyo MKJJ asingeweza chochote. Lydia Ngosha, nadhani ni point 5 wa kisukuma na kihaya au kinyakyusa....Lydia naomba barua pepe, simu na anwani nitume zawadi za x-mas.

Mwanzoni nilimaindi (harakati za) Mwafrika Wa Kike, maana alikuwa gado kama Winnie Mandela. Ila nimeona kapitiliza kawa gangari kama Zay B, yaani mkakamavu sana kuzidi hata mau mau. Sasa sijui nayeye kahitimu mazoezi ya ukomandoo kule Cuba (alikopitia MKJJ)? Nina wasiwasi huyu hata u-Beijing kapitiliza. Ila Mwafirika wa Kike una siku 10 kufahamu yule msela yuko wapi USA, halafu uchukue title yako, cos you know what to do after that. Hapo nakuaminia. Hautangusha watanzania.

Zitto, Dr Slaa, aah hao wamefanya kazi wanayotakiwa kufanya, hawahitaji sifa. Tena bado hawajaifanya vizuri. Ila pole tu kwa Zitto kupewa forced-sick-note na bunge.
 
Nzoka...

Mimi najua aliko Balali na nimejaribu mara mbili kumuona uso kwa uso. Mambo sasa hivi yako tense, kuna fununu kuwa jamaa wanataka Balali afe so bad kiasi kwamba jamaa anatafuta ulinzi wa kudumu.

Ninaweza hata saa hii nikakuambia Balali aliko na hata simu yake anayotumia sasa nikakupatia. Hebu kwanza tusubiri tuone hali yake ya afya itaendelea vipi.

NB.

Hata mimi namsapoti Lydia Ngosha katika hiyo nafasi. Mafunzo ya juzi ya Cuba yametegua mkono wangu na nina bonge la POP kwa sasa na itakuwa aibu nikipigwa picha kupokea award nikiwa na POP.

Umeona hiyo breaking and exclusive news ya Barua ya kujiuzulu ya Balali? mambo ndio tu yameanza hapa JF, stay tuned
 
Mmmh,
Mimi sijasema jina, wewe tayari unataja majina. You are too fast for your own good. Ndio maana sijakuchagua.
Hiyo thread sijaiona. Ila nitaitafuta.
 
kwi kwi kwi,

samahani sikujua kama ulitaka iwe siri! Naomba usinichague kabisa maana kuna watu watafuta uanachama wao JF kama nikipata hiyo award......lol
 
Ok. here Is my vote!!! IGP Saidi Mwema. anatisha kwa mbinu za upolisi. Huyu Bwana Ni polisi haswa. Polisi Jamiii etc. Ni Shupavu.Anamsimamo na ametulia. anona na He completely know what z doing. Amelifanya jeshi la polisi kuonekana la kisomi na more inteligent ..na kuacha mamabo ya kinguvu nguvu tu bila ..int' za kina...I beliave kama sio huyu bwana..ule wizi/ujambazi uliokuwa emeshamiri sana kabla kikwete hashika madaraka...Usinge sinyaa hata kidogo..BIG UP IGP MWEMA. Wa pili ni Salma Kikwete..sorry you said we should nominate only one.. person..!ok ommite wa mwisho!
 
Mimi nadhani walala hoi wetu wote wanastahili heshima hii hasa baada ya kuachwa solemba na J. K. I. Kwete.
 
Mimi nai-nominate kampuni yetu ya Barrick Gold maana imekuwa na nguvu kuliko chombo chochote hapa bongo.
 
So far ni Zitto na MK..... I think it is the best pick. Zitto very intelligent and humble young man. MK is humble, articulated and he always goes after bad guys.
 
Lowassa, sababu.'
1.ameweza kuupaisha uchumi wetu kwa kiwango alichotangaza mwenyewe mbele ya taifa.
2. ameweza kuwaelewesha watanzania kwa mifano halisi kama ule maarufu wa kasungura....
3. aliwdeza kutunga shairi bora ndani ya bunge kuwa wapo na wamejaa tele viongozi shupavu.....
4.alikuwepo kumwangalia rais wakati mwa kusaini Buzwagi hotelini.
5. amewaambia viongozi wa dini wawataje mafisadi kwani watu hawawataji ...
6.alishindw kujibu swali la mwanafunzi mdogo na hii itamfanya kuingia kwenye record za mawaziri wakuu wenye uelewa wa kujibu maswali makubwa tuu......
7.alishiriki kwenye kuandaa na kupituisha makataba bora wa umeme wa richmond na hadi leo bunge linatafuta kiini cha mkataba huo.....
 
Good recorder Kudos Mpaka kieleweke!
 
hahah aisee ndugu una kumbu kumbu wewe!!!
me na mpick Hero Waziri Mwizi FIsadi Karamagi
 
Back
Top Bottom