Tanzanian 2007 Person of the Year

Nadhani nawapendekeze our own heroes, nashindwa kuamua kati ya Mwanakijiji (aka "Kijana Mkakamavu") na Invisible (aka "Robot")
 
Zitto Z .Kabwe kwa Tanzania lakini baadaye awe Mwanakijiji kwa Watanzania wakaao nje ya Nchi .Tuendelee
 
Who you think diservs to be Tanzania 2007 person of the year
You name any one, and explain why you think he/she diserv to be 2007 person of the year?

Mimi nampa JF Senior Member, Halisi, maana breaking news zake hapa JF zimeenda shule!
 
hiyo shortlisted kwanza imepatikana kwa vigezo gani? We ungeacha uwanja wazi tukachagua wenyewe. Unatuwekea multiple choise kwani sisi mazuzu? Sasa kujibu swali lako, the Person of the Year award is shared by God and Satan. They had a great duel this year with many of God's followers trying out Satanic stuff (kusema uongo, kuiba, kutia/kutiwa nje ya ndoa, na kuweka vinyongo na visasi). Hata hao hapo kwenye oroza yake wamerubuniwa na Shetani mwaka huu in one way or another.

Sijaona shortlist yoyote hapo!
 
Mzee umenikumbusha mbali sana.. mambo ya Timbuktu na Mansa Kankan Musa.. or something.. Mwalimu wangu wa Jiographia alikuwa anapenda kulitamka hilo jina utadhani Jacob Tesha alivyokuwa anatamka Wagudugu! au alipotamka "Dodoma"
 
Daudi Balali akiwa Gavana wa Benki uchumi uliimarika na inflation ikashuka from 20+ to single digit 4-6....

Need I say more?

Aliyeshusha inflation ni Dr. Rashid aliyeikuta iko above 30% wakati anaingia ofisini na aliishusha mpaka around 10% wakati akiwa anatoka ofisini. Kwa hiyo Ballali anapewa credit ya bure kwa kazi nzuri iliyofanywa na Dr. Rashid. Refer reports za BoT za kila mwaka. Ni rahisi kuendelea kushusha mfumko wa bei kuliko kuubadilisha mwelekeo na hasa kama mfumko wa bei ulikuwa unapanda.
 
Mzee umenikumbusha mbali sana.. mambo ya Timbuktu na Mansa Kankan Musa.. or something.. Mwalimu wangu wa Jiographia alikuwa anapenda kulitamka hilo jina utadhani Jacob Tesha alivyokuwa anatamka Wagudugu! au alipotamka "Dodoma"

Aaah unajua si wengine tumezaliwa na kukulia ktk familia za Wanahistoria bwana....daftari langu la kupakia rangi (coloring book) kilikuwa kitabu cha kina Tippu Tip na biashara zake...
 
Hey man....do you think we'll go 16-0?

yeah inawezekana, maana nimeona makala moja jana kwenye METRO(one of the city's two free daily newspapers), kwamba wanakwenda for 16-0 na hawatafanya makosa kama ya Indiana mwaka juzi.......meaning kwamba hawapumzishi wachezaji wala nini, ni kanyaga twende moja kama jahanamu. Jamaa nane wanakwenda kwenye pro bowl in Hawaii, kwa mara ya kwanza Tom Brady ana-start na mzee mzima Peyton Manning anakaa bench!!!.
Vipi uliangalia game na Jets??kuna kipindi ili simama, maana "snowman" alikuwa kakasirika!!!! LOL.
 
Thats whats up! that Brady will start. Ebwana halafu NE hawajawahi kupeleka wengi namna hii ama nimekosea?
 
Upo sahihi msee, ni kama ka-record flani hivi.....yaani ni karibu kila star isipokuwa Seymoor( ambae alikuwa na injury karibu week tisa au kumi za mwanzo).

Unajua kuwa marehemu Sean Taylor nae ka-make it to pro bowl!!! Inasikitisha na kuudhunisha!.
 
Jamani kwani Mwanakijiji kafanya nini kabla sijampa kura yangu? au ni kwa sababu ya picha za ngono alizobandika hapa? Naona hapa mtamwiita shujaa wa nchi kwama ilivyotokea kwa Richard.Basi tuwe gender sensitive namchagua Mama Asha Rose Migiro
 
So far naona Zitto Kabwe anaongoza, while some of the JF members nominated MK to be JF person of the year outside of Tanzania
 
Back
Top Bottom