Hii nyumba mpaka na Leo ipo. Ndipo alipozikwa chief Dodo, ni karibu na office ya RPC kwa sasa
 
Mwenye Picha za stand ya daladala Ubungo, Kimara na Mbezi Mwisho(Louis) kabla hakujavujwa
 
Kwa kweli kama tungeendelea na kasi hii ya maendeleo, tungekuwa mbali sana. sasa hivi umbakia wizi na usanii tu!
Ujamaa ulituponza,, siasa za ujamaa ziliwakimbiza wenye uchumi na Mipango, na kutugombanisha na wenye mitaji ,angalia wenzetu Kenya na Botswana kwamfano, nchi karibu zote zikizokuwa za kijamaa zilipata anguko kubwa sana la kiuchumi na kistaarabu ukiacha uchina, angalia kuanzia USSR (urusi) yaan Russia ya sasa, Cuba, nchi zote za mashariki Poland, Romania, Ukraine, Yugoslavia nk
 
Unakosea yani mke wako wewe unataka ujilinganishe na jirani yako? Utasaidiwa kazi tu

Kila taifa lina strategy yake ya kujikwamua, huwezi uka copy from other side, simply kuna attitudes, behavior na characters tofauti za citizens huwezi uka copy na kupaste.

Tunazo approach zetu za ku move according to the nature of our nation.
Chaguo ni CCM, Chaguo ni Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…