Kweli tulikuwa mbali sana! hata Internet cafe zilikuweko siku hizo! ni mwaka gani vile? hapa ni Moshi? naona Mlima Kilimanjaro

Kuwa mjanja kidogo ukitaka kujua umri wa picha tazama model ya magari au ujenzi utagundua ni miaka gani hii picha ni recent na ni ml.Meru kama sikosei.
 
1969.
1503810_10152647633464498_214875022_n.jpg

Huu msiba ulikuwa wa Rais wa zamani wa Msumbiji.
Eduardo Mondlane
BornJune 20, 1920
Nwajahani, Mandlakazi, Mozambique
DiedFebruary 3, 1969 (aged 48)[SUP][1][/SUP]
Dar es Salaam, Tanzania
Years of service1963-1969
Rank1st President of FRELIMO
Commands heldFRELIMO

<tbody>
</tbody>
 
Idadi ya watu ilikuwa ndogo wengine tulikuwa hatujazaliwa.nafnadhani tukipata uhuru tulikuwa milioni kumi na kitu hiv.miji ilikuwa misafi wa kuichafua nani bwana!
 
Eduardo Mondlane alikuwa ni kiongozi wa frelimo chama kilichopigania uhuru wa Msumbiji hakuwai kuwa raisi wa nchi hiyo kwani alifariki hapa jijini dar kwa bomu la barua kabla nchi yake kuwa huru.kumbukumbu nzuri
 
arusha_1961.jpg


Arusha Clock Tower mwaka 1961

aisee I like vintage scenes.Hapo Barclays sahv kuna NMB kwa chini kulia kituo cha Nazi mgahawa ukipanda huku juu ndio mkoan na manispaa,aicc na mount meru Hosp kama sikosei,pia kase bookshop,attorney generals chambers,Sumatra,Ethiopian airlines. kama sijakosea
 

exactly what I wanted to see.the other side of arusha clocktower. Mimi nlikua nafanya field hapo ofisi ya mwanasheria mkuu karibukabisa na hilo jengo la TTCL naona halibadiliki.so Nkiwa narudi sombetini natermka na hyo njia nafika halo inaponekana Barclay's cku hizi kuna NMB napanda gari Linalotoka njiro naenda sabena.hyo ofisi ya EMS bado ipo.yan najiona kama nko hiyo miaka.mpaka nasisimka mwili daaaaah
 
Hayo magari ndiyo yaliyoniacha hoi lol!!!
Yani ningekuwepo nisingepanda kwenye hiyo mikokoteni yao!!!
Yani gari halijulikani mbele ni wapi lol!
 
Halafu angalia hata Afya yake,Anaonyesha kabisa kuwa alikuwa anategemea mshahara.Rushwa ilikuwa mwiko.
 
Back
Top Bottom