Tanzania: Utawala bora vs Rushwa

Tanzania: Utawala bora vs Rushwa

Japanese minister kills himself

Toshikatsu Matsuoka was embroiled in a financial scandal
Japan's Agriculture Minister Toshikatsu Matsuoka has died in hospital after apparently committing suicide.
The 62-year-old was found hanged in his Tokyo apartment hours before he was to face questions in parliament over his links to a political funding scandal.

Opposition MPs had been calling for his resignation over unexplained expenses.

PM Shinzo Abe expressed regret over the news saying he was conscious of his "responsibility as prime minister, and as the one who appointed him".

"The effects on the cabinet will be great," Mr Abe added as he went to attend a wake for the deceased minister late on Monday.
 
Kwa hapa Tanzania hukumu kama hiyo haitapita kama miswada mingine inavyopita. Kwanza ni kwamba wanaoiba ni hao hao wanaotunga miswada hiyo hiyo. Tulie tu bora wenzetu Wajapan na Wachina. Mifano ni hii IPTL na Richmond hii TAKURU haina maana kwetu kwani wamehalalisha mkondo wa rushwa TAKURU = Taasisi ya Kulinda Rushwa. Ukifaulu kupata mshiko wa rushwa bila kukamatwa utalindwa na TAKURU.
 
Wandugu, hapa kwetu ni uwongo mtupu. Kwa hilo halitakaa liwezekane. Alichosema BUBU MSEMAOVYO ni sahihi kabisa. Haohao watunga miswada ndo haohao wala rushwa wakubwa. Hakuna cha TAKURU wala cha nini hapa. Naona JK amepunguza ule moto alioingia nao madarakani.
 
Kitu kama hicho kutokea kwetu ni ndoto za alinacha, eti nini? Waziri ajiue kwa sababu katafuna pesa? Ndio kwanza anamwagiwa misifa kibao, "kawa waziri mwaka mmoja tu keshajenga kwao", "mambo yake kaweka fresh", "kashajijenga" "mjanja", "hajazubaa" n.k.

Hiyo ya hukumu ya kifo? Yeah right!! Tutapoteza serikali nzima!
 
hahaha hukumu ya kifo hata mimi siisaport ila adhabu kali itolewe haina maana kibaka wa mkufu afungwe miaka na mlarushwa na mwizi wa rasilimali za umma asichukuliwe hatua. Rais mwenyewe aliwahi kusema anamajina ya wala ruswa wote sasa nini kilizuia kuwachukulia hatua? Hata japo tuu kuwa hoji?
 
hakuna kulindana wala kuogopana.

~_~_~_~_~_~_~_~_~_~_~_~_~_~_~_~_~_~_~_~_~_~_~

Thaksin a wanted man as Thai court issues arrest warrant for ex-leader


· Manchester City owner fails to attend hearing
· Former prime minister could face extradition

Ian MacKinnon, South-east Asia correspondent
Wednesday August 15, 2007
The Guardian


Senior Thai judges issued arrest warrants for the ousted prime minister Thaksin Shinawatra and his wife yesterday on the grounds that they sought to evade corruption charges over a multimillion-pound land deal.
The former leader, who recently acquired Manchester City football club for £81.6m, was deposed in a bloodless coup in September while he was abroad. He has since been living in exile in London and failed to appear before a hearing scheduled to begin yesterday.

The nine-judge panel of Thailand's supreme court ordered the telecoms billionaire and his wife, Pojaman, to be produced before the court at the next hearing scheduled for September 25. Prosecutors said afterwards that if Mr Thaksin failed to appear by the new deadline then extradition proceedings would be considered.
However, an extradition request to British authorities would have virtually no hope of success. British law has no charge equivalent to that which Mr Thaksin, 57, is facing under Thai legislation. Foreign governments are also usually reluctant to extradite former heads of state where there are suspicions of political persecution.

The couple are accused of being involved in a £11.1m land deal to buy a prime piece of Bangkok real estate in 2003 while Mr Thaksin was prime minister, in contravention of laws barring serving officials and politicians engaging in business with state enterprises.

In the wake of the coup, an "assets examination committee" established by the military-appointed government investigated the purchase of land from an arm of the Bank of Thailand at an auction in which other bidders dropped out.

If convicted, Mr Thaksin faces up to 10 years in jail. The committee is demanding the purchase be set aside, the land returned and the money confiscated.

The former prime minister's lawyer, Pichit Cheunban, argued that because of the political uncertainty in Thailand it was not safe for his client to return, though his wife has travelled in and out of the country often and is currently in London.

The lawyer argued that Mr Thaksin's reappearance in Thailand would merely destabilise the fragile political situation ahead of elections that the coup leaders have pledged by December.

He added that it would be impossible for Mr Thaksin to receive a fair trial while the junta was still in control and urged that the case be postponed until next year, or until at least a month after the elections.

"I have talked with my two clients and we agree that the best timing for them to return to fight the case is after the election," Mr Pichit said after the ruling. "We reiterate that the current situation is still not good for their safety and we have no desire to see disunity in the country."

In his initial reaction to the Thai court's decision, Mr Thaksin gave a non-committal response to the Associated Press.

"I am aware of the decision in Thailand," he said in a statement. "I shall consult with my legal advisers and make an announcement in due course."

The army chief, Sonthi Boonyaratglin, who led the coup, said Mr Thaksin's safety would be guaranteed if he returned, directly contradicting an earlier statement that the former premier might be at risk from his enemies.

"The [National Security Council] has to be responsible and the government has to ask the police to take care of it with the military playing a supporting role," he said. "There should not be any problem for him to return. Everything has gone in accordance with the Assets Examination Committee and court process."

Since June, almost £1bn of Mr Thaksin's assets have been frozen in Thai bank accounts. The tycoon was already a wealthy businessman before he secured two terms in office between 2001 and 2006. But the tax-free sale of his telecoms empire to the Singapore government's investment arm in 2006 sparked mass street protests that led to his eventual downfall.

The Thai military, which justified its takeover on the grounds that Mr Thaksin was corrupt, vilified the former prime minister, but took almost eight months to bring the first charges against him.

Backstory

Football-mad Thaksin Shinawatra became the first prime minister in Thai history to win two terms of office. The ex-policeman, born in the northern city of Chiang Mai, studied in the US and holds a PhD in criminal justice. On his return in the 1980s, he set up a telecom business and carved out a huge empire, helped by cornering state monopolies. He burst on to the political stage in 1998, using his millions to form the Thai Rak Thai party and in three years he was prime minister, championing Thailand's rural poor, who still revere him. Before purchasing Manchester City, he failed to win control of Liverpool FC while still prime minister after it emerged that he planned to use state funds to bankroll the deal.
 
JK: No mercy to CCM poll polluters

2007-08-25 09:32:59
By Correspondent Premy Kibanga, Kishapu, Shinyanga

CCM Chairman President Jakaya Kikwete has warned that any CCM member who will bribe voters in the forthcoming party elections will be sacked from the post. He gave the warning yesterday during a public rally held at Kishapu in Shinyanga. I warn all party members that there will be no mercy to any leader proven to have bought their way in. We cannot let people who buy their position lead the party, he said.
Kikwete said he had already put his spies who will provide him with the necessary information.

President Kikwete directed district and regional political committees to assess the election and insisted that the focus should be on leaders who bribed their way in.
The ruling Chama cha Mapinduzi starts party elections at district level today.

Elections at regional level shall be held from September 10 to 11 this year, while at the national level the election will be held on November 3 and 4. During his tour, the President Kikwete launched a modern livestock auction jointly sponsored by the government and the African Development Bank.

The 14.4bn/- project, aimed at increasing earnings to livestock keepers, is located at Muhunze, a famous livestock area. He said the government intended to re-establish the Shinyanga meat canning factory. We have already got an investor and will sign a contract with him later, he said.

SOURCE: Guardian
 
Huyu mwandishi ana maanisha kwamba Mwenyekiti wa CCM anachukia rushwa kiasi hicho hadi chamani mwake ? Mbona alibeba 40m kuwarubuni madiwani wa Tarime ili CCM wachukue Halmashauri lakini akashindwa ? Mbona siku alitamka neno rushwa alianguka chini Jangwani wakati anaomba kura za kuwa Rais leo anaweza nini wakati hata ya Karamagi ni mabichi kwake?
 
Mzee wa kukandamiza,

Hivi umeshawahi sikia kitu inaitwa "lip service"? That is what Muungwana is trying to do, ila kama damage imeshafanyika sana and it looks like we are close to the tipping point. Kama hata watu wa kanda ya ziwa ambao walikuwa mashabiki wake wakuu na hata kufikia kutoa pesa za kuchukulia form wakati wa mchakato wa Urais nao wameonyesha dissatisfaction basi ujue kuna jambo hapo.
 
Hizo ndio zinaitwa blah blah blah, danganya toto... hakuna lolote hapo!CCM na rushwa ni Best Friend Forever'na hakuna wa kuwatenganisha.
 
Hapas ni maigizo tuu nilidhani EL ndio bingwa kwa vile amesomea maigizo kumbe hata JK naye ni bingwa wa maigizo , duh, hii nchi kazi kwelikweli kukaa.
 
Kwanza yeye aliupate ukuu wa Nchi ? yaani kabla hajaletwa kwetu wadanganyika humo ndani ya Chama chake ikuwaje ?
 
JK.JPG


[FONT=Georgia, Times New Roman, Times, serif]Kikwete: Ole wao wagombea watoa rushwa

[/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, Times, serif]*Asema wakishinda watafukuzwa
*Adokeza namna atakavyopata taarifa zao

[/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, Times, serif] NA PREMI KIBANGA, SHINYANGA

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, ameonya kwamba, mgombea atakayebainika ameshinda kwa kutoa rushwa, atafukuzwa.


Tahadhari hiyo aliitoa jana katika mkutano wa hadhara wilayani Kishapu, akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Shinyanga.

[/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, Times, serif] Chama Cha Mapinduzi kinafanya uchaguzi wa viongozi nchini kote kwa ngazi ya wilaya, leo na kesho na Septemba 10 na 11 utafanyika uchaguzi wa viongozi ngazi ya mkoa.

"Napenda kutoa tahadhari kwa wanachama wote, hatutakuwa tayari kuwa na kiongozi aliyepata uongozi kwa kutoa rushwa, mkibainika hamtaendelea kuwa viongozi," alisema Rais Kikwete.

Alisema wapo watu wanaofuatilia mwenendo wa uchaguzi na kukusanya taarifa mbalimbali zitakazofanyiwa kazi.

"Chama hakiwezi kuendelea kuwa na wanachama wanaonunua uongozi," alisema na kuongeza kwamba ameweka vyanzo vyake vya kumpa taarifa, na kazi hiyo inafanyika.

" Na mara uchaguzi utakapokamilika, nataka kamati za siasa za wilaya na mikoa kufanya tathimini, lakini kubwa nataka taarifa ya viongozi waliopata uongozi kwa kununua," alisema.

Alisema amejipanga vyema na vya kutosha kupata taarifa hizo.
Kabla ya mkutano na wananchi, Rais Kikwete alizindua mnada wa kisasa wa ng'ombe.

Mnada huo umegharamiwa na serikali kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Afrika, iliyotoa sh. bilioni 14.4.

Mradi huo umejengwa katika eneo la Muhunze lenye mifugo mingi, ili kuweka mazingira mazuri kwa wafugaji kupata faida kutokana na mifugo yao.
Rais pia alielezea azma ya serikali ya kufufua kiwanda cha nyama cha Shinyanga ambacho kilishakamilika, lakini hakijaanza kazi.

Alisema serikali imetenga sh. milioni 160 kwa ajili ya kupanua huduma ya maji wilayani Kishapu, na kuna mpango mwingine wa maji ambao umeandaliwa na utahudumia vijiji tisa wilayani humo, ili kupunguza na hatimaye kulimaliza tatizo la maji wilayani humo.

Wilaya ya Kishapu ni wilaya mpya ambayo haina hospitali, lakini tatizo hilo limeshashughulikiwa na tayari imepata kiwanja cha kujengea hospitali na fedha zimetengwa kwa ajili ya kazi hiyo.
[/FONT]

CHANZO: http://www.uhuru.info/kitaifa.htm
 
kutokana hali inayoendelea ya rushwa, na mbinu chafu ndani ya ccm ktk kupata viongozi wake ngazi ya chini hadi juu.

jee haiwezi kuwa ikawa ni nafasi njema kwa wapinzani kujipanga na kuwa kimbilio la watanzania wanaochukia vitendo hivyo?

jee wapinzani wao hawatoi rushwa kwa kupata uongozi?

hivi karibuni rais karume alivifananisha vyama vya upinzani na kampuni binafsi mana viongozi wake ni wale wale kila siku, jee hili linaweza kuwa viongozi wa upinzani na wao wanatoa rushwa ili kuendelea?

au jee hii haiwi sababu ya kuvifanya vyama vya upinzani kukosa ukomavu maana wananchi wanaona vyama vya upinzani havina demokrasia?

tujadilini hili kwa uwazi na kuangalia jinsi gani rushwa na mbinu chafu zinavyoweza kuuimarisha upinzani pamoja na kuangalia kasoro ambazo zinazoukabili upinzani leo na njia za kuweza kuziondosha
 
Kumekuwa na fununu tangu jana kuwa baadhi ya Wabunge wa CCM huko Arusha wamekamatwa wakitoa rushwa katika chaguzi zinazoendelea ndani ya CCM.Magazeti ya leo yameripoti habari hii baada ya kumnukuu Kamanda wa TAKUKURU Arusha akithibitisha hilo.

Wana JF, tuchambue na kujadili hii.
 
Nafikiri alichosema mbunge mmoja bungeni kuwa ni karibu wabunge wengi wameingia bungeni kwa rushwa na wakamwambia afute kauli yake,naona laana imeanza kuwatafuna wenyewe.
 
Admin. angalia uwezekanao wa kuunganisha hii thread na ile ya Wabunge wa CCM wadakwa wakitoa rushwa.
 
Na Jonas Songora

KUFUATIA kukamatwa kwa tuhuma za rushwa viongozi wawili waandamizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wasomi na watu mbalimbali wamedai kuwa chama hicho kimepoteza mwelekeo na imani kwa wananchi.


Wakizungumza na Mwananchi kwa nyakati tofauti, wasomi hao wamedai kuwa hatua ya kukamatwa kwa viongozi hao waandamizi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) ni dalili mbaya inayoonyesha kuwa vitendo vya rushwa vimekithiri ndani ya chama hicho.


Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk Paul Kihwelo, alisema kuwa tatizo kubwa lililopo ndani ya chama hicho ni ukosefu wa uadilifu kwa baadhi ya viongozi wake wenye uchu wa madaraka.


"Mwelekeo wa CCM ni wa kutia mashaka, juhudi za dhati kutokomeza rushwa hazionekani na badala yake wanafumbia macho rushwa inayotendeka waziwazi, kama kweli wapo tayari kupambana na rushwa waileze jamii ni hatua gani walizochukua kudhibiti hali hii," alisema Dk Kihwelo.


Aliongeza kuwa uadilifu haupo tena kwa baadhi ya viongozi wa CCM hali ambayo inasababisha rushwa iendelee kukithiri hata katika mchakato wa kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika chama hicho.


Naye Mkuu wa Kitengo cha Utafiti wa Chuo cha Wanyamapori cha Mweka kilichopo mkoani Kilimanjaro, Dk Abiud Kaswamila alisema vitendo vya rushwa vinavyoendelea kuripotiwa vinaelezea jinsi chama hicho kinavyowapata viongozi wake kwa njia za rushwa.


Alisema kuwa hata idadi kubwa ya watu waliojitokeza kuwania nafasi za uongozi ndani ya chama hicho, waliamua kufanya hivyo wakijua kuwa watafanikiwa kutokana na fedha walizonazo kujipatia nafasi hizo kwa urahisi.


"Bila fedha huwezi kupata nafasi ya kuongoza chama hicho, system (utaratibu) mzima wa kuchaguana ndani ya chama haufai kwani unatoa mwanya kwa wenye fedha pekee kushinda chaguzi hizo, huku wasiokuwa na fedha wakiachwa nje," alisema Dk Kaswamila.


Aliongeza kuwa kutokana na jamii zetu kukithiri kwa umasikini, viongozi wengi wa CCM hutumia mwanya huo kuwahonga wananchi ambao nao pia huwachagua bila kujali uwezo wao wa kuongoza.


Baadhi ya wananchi waliochangia mawazo yao walidai kuwa viongozi wa juu wa chama hicho wamejisahau kuwa wananchi wa kawaida ambao walijikipigia chama hicho kura nyingi katika uchaguzi uliopita, wameanza kupoteza imani na chama hicho.


Anna Musa mkazi wa Kinondoni jijini Dar es Salaam, alisema kuwa kutokana na vitendo vingi vinavyohusishwa na rushwa kufanywa na serikali na wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya CCM, imani kwa viongozi wanaochaguliwa katika uchaguzi huu, ni haba
 
Back
Top Bottom