Kafulila: Tangu Rais Samia aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kasi, ni zaidi ya Jumla ya ukuaji wa Uchumi wa nchi za Kenya na Uganda

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
4,985
4,084
Habari JF,

Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania unadorola,

Hii ni bad luck kwao kwani wakati wote na popote namba daima milele huwa hazidanganyi na zinanguvu zaidi ya porojo na uzushi hasa wa wale wasiolitakia mema Taifa hili ambao wako tayari hata kuiuza nchi kwa wazungu wanaowapa mabilioni na kuwalelea familia zao.

Chanzo cha taarifa hii ni kutoka Shirika la Fedha na Uchumi Duniani yaani IMF,

=========

Katika ukurasa wake wa twitter(X) Kamishna mkuu wa PPP nchini Tanzania Bw David Zacharia Kafulila ameandika haya kwa ufupi,

IMG-20230918-WA0000.jpg
 
Habari JF,

Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania unadorola,

Hii ni bad luck kwao kwani wakati wote na popote namba daima milele huwa hazidanganyi na zinanguvu zaidi ya porojo na uzushi hasa wa wale wasiolitakia mema Taifa hili ambao wako tayari hata kuiuza nchi kwa wazungu wanaowapa mabilioni na kuwalelea familia zao.

Chanzo cha taarifa hii ni kutoka Shirika la Fedha na Uchumi Duniani yaani IMF,

=========

Katika ukurasa wake wa twitter Kamishna mkuu wa PPP nchi Bw David Kafulila ameandika haya kwa ufupi,

View attachment 2753025
Utasikia ni chawa wa mama 😂😂
 
saalale..........amewachokoza wutusi na watukani kwa hoja nzito namna hii?
sikilizia waanze kukurupuka huko :D :D
 
Habari JF,

Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania unadorola,

Hii ni bad luck kwao kwani wakati wote na popote namba daima milele huwa hazidanganyi na zinanguvu zaidi ya porojo na uzushi hasa wa wale wasiolitakia mema Taifa hili ambao wako tayari hata kuiuza nchi kwa wazungu wanaowapa mabilioni na kuwalelea familia zao.

Chanzo cha taarifa hii ni kutoka Shirika la Fedha na Uchumi Duniani yaani IMF,

=========

Katika ukurasa wake wa twitter Kamishna mkuu wa PPP nchi Bw David Kafulila ameandika haya kwa ufupi,

View attachment 2753025

Sasa naelewa kwanini AG mstaafu Werema alimuita tumbili
 
Daah
 
Ni kweli kabisa kwenye mifuko na matumbo Yao uchumi umekuwa kwa Kasi
 
Habari JF,

Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania unadorola,

Hii ni bad luck kwao kwani wakati wote na popote namba daima milele huwa hazidanganyi na zinanguvu zaidi ya porojo na uzushi hasa wa wale wasiolitakia mema Taifa hili ambao wako tayari hata kuiuza nchi kwa wazungu wanaowapa mabilioni na kuwalelea familia zao.

Chanzo cha taarifa hii ni kutoka Shirika la Fedha na Uchumi Duniani yaani IMF,

=========

Katika ukurasa wake wa twitter Kamishna mkuu wa PPP nchi Bw David Kafulila ameandika haya kwa ufupi,

View attachment 2753025
Usiamini vituko vya tumbili akishatupiwa ndizi mbivu.
 
Back
Top Bottom