Wewe ndiyo unaonekana kituko maana hujui chochote, hata hiyo 60% tumepunjwa ilitakiwa iwe 80%. Taafuta taarifa kwanza ndipo uje hapa na si kukurupa bila kuwa na taarifa sahihi.Bomba mali yao,mafuta mali yao halafu wakupe 60%,kweli jk katuachia kiongozi mwongo kuwahi kutokea duniani