Tanzania Election 2010 Results as per NEC

Tanzania Election 2010 Results as per NEC

Ndo zao hizo. Wanataka watumie usiku wote kuchakachua. Hawa watu hawaitakii mema nchi yetu. Wanataka kutupeleka kule tusikotaka kwenda; kuuana kwanza ndo tuheshimiane. Laana ya Mungu itakuwa juu yenu na mafisadi wenzenu nchi hii itakapotumbukia kwenye machafuko.

Vyama vya upinzania vikatalie, watu walinde kura mpaka kieleweke, hata kama ni wiki nzima, watu wapelekewe mihogo walinde masanduku ya kura hapohapo, pia wawe na tochi zenye mwanga wa kutosha. Tunataka demokrasia ya kweli siyo uchakachuaji wa CCM na NEC. Dr. Slaa, Lipumba, Mbowe wakatalieni NEC wananchi waendelee kulinda kura zao. Ni haki yao, siyo kura za CCM wala za NEC ni kura za Watanzania. Wamechagua mabadiliko, wameamua njia wanayotaka. CCM na NEC msiwaamulie wananchi.

Mbona aliyetangaza kuahirisha alisema na sababu? Naona JK ana kura za kutosha kutoka majimbo ya vijijini kumhakikishia ushindi.

sio kama nauburi udini no.! ila sehemu nyingi alizo kimbiza jk zina idadi kubwa ya vibarakashee na madira,na ndo maana ukicheki utakuta wana gawana vibarakashee na CUF,next TIME siangalii sera ni IMANI MKAZI. FAAAKI PISI:A S angry:

Malaria Sugu, alipigana peke yake sasa kuna dalili ataibuka mshindi na chama chake cha CCM.
unajuaje kama Malaria Sugu ni mtu na siyo taasisi inayotumia jina la malaria sugu kuwakilisha fikra chokozi za Mafisi- Hadi kwenye jamvi letu tukufu la JF?

Hebu fikiria kundi la watu wanaopeana zamu kuwa mbele ya Kompyuta kwa ajili ya kujibizana humu ndani wakitumia majina ya Malaria Sugu au Mbu Sugu. Kila thread inayoanzishwa inapitiwa kwa pamoja na watu hao na majibu yanatolewa kwa pamoja.

Asubuhi mpaka asubuhi inayofuata watu wako kazini wakiwa ni Mbu Sugu wasiouawa kwa Vyandarua tulivyoletewa na Bush na Malaria sugu isiyotibika kwa dawa mseto.

kweli kabisa, Mbwana Slaa alitakiwa kuwa Mbunge na sio Rais, tutamkumbuka kwenye bunge lijalo na hata yeye atakumbuka kuwa bungeni, next time asithubutu kukubali kungombea Urais

crap o malt

kweli kabisa, Mbwana Slaa alitakiwa kuwa Mbunge na sio Rais, tutamkumbuka kwenye bunge lijalo na hata yeye atakumbuka kuwa bungeni, next time asithubutu kukubali kungombea Urais

kweli ww domo kaya

kushindwa kwa dr.slaa ni kushindwa kwa wananchi maskini...

kinachotia uchungu yeye sio maskini tena kwani hata akiukosa urais atalipwa milioni 12 kila mwezi na chadema kwa mujibu wa mkataba waliokubaliana nae!!!

KURA%20LOGO.jpg

kinachotia uchungu yeye sio maskini tena kwani hata akiukosa urais atalipwa milioni 12 kila mwezi na chadema kwa mujibu wa mkataba waliokubaliana nae!!!

Inakuuma?

kinachotia uchungu yeye sio maskini tena kwani hata akiukosa urais atalipwa milioni 12 kila mwezi na chadema kwa mujibu wa mkataba waliokubaliana nae!!!
Weka nakala ya hayo makubaliano hapa please! Chadema huwa tunakwenda kwa datas sio porojo za sisi m. Ndio sababu tumeanza kuaminiwa

Kulikuwa na link yenye format ya spreadsheet (like excel), naomba mwenye nayo aniwekee hapa jamvini.

Magogoni

JK 696

Dr. 50

Prof. 6044

Bukoba Mjini.

JK 15,410

Prof. 449

Majimbo kumi yametimia watatuita tena kutupa kumi mengine. Nimeyapata kwenye hard copy, natafuta scanner nimscanie Invisible.

matokeo mengine ni saa 11 jioni na ya mwisho saa 2:00 usiku.

jana walitoa majimbo mengine 4. saa hii wanatoa majimbo 45. nitamtumia soft copy invisible wakishamaliza, saa nitawadondolea tuu mshindi.

hawa jamaa wanacheza na mind za watu ,,,,wamen'gan'gania kutoa matokea aliyoshinda kikwete wao tuuu

Slaa anaburuzwa mbaya Zenji. Hivi hakujua kwamba anagombea uRais wa Jamhuri? Na Prof Lipumba anaburuzwa mbaya Bara. Mkiambiwa wapinzani hamko serious mnabisha. Maybe you should have united? Kura za Slaa + CUF + NCCR zinazifunika za JK.

duh haya matokeo yanatisha ... hopefully chadema watapata kura zaidi kwenye vituo vingine

Back
Top Bottom