Tanzania Election 2010 Results as per NEC

Tanzania Election 2010 Results as per NEC

Waikristu mmeshindwa mnaanza kulia kulia. Poleni sana tutaonana 2015. Ccm oyee, waislamu oyee

Huko ndiko alikoifikisha nchi Kikwete!! People are no longer discussing national issues but religious issues. Kama mtu anaweza kuandika bila hata aibu mambo ya uislamu na ukiristo katika uchaguzi, basi ujue huyu kama si juha basi taahira kabisa. Hivi wailamu nchini wako wangapi kiasi cha kuweza kupiga kura hizo zote alizopata Kikwete? Hili lijamaa linanitia hasira!! Kama ndo hivyo basi tutaona kama huyo Kikwete atamaliza hii miaka mitano?! Take my words!! Huyu Mkwere hamalizi miaka mitano, na akimaliza mimi nahama nchi.
 
You are not even a human being!! You are just a ghost!! who care about somebody's religion? We care about our country, it is not a case of islam and christians.

Hivi umeshasahau statements zako ulizokuwa ukizitoa hapa JF? Sasa hayo ndio matunda yake na tunapoelekea ndio kubaya zaidi....Yawezekana kabisa kuwa huyu sio mwislamu wala CCM lakini anajitahidi kuendeleza sumu ambayo wengi wenu humu mlikuwa mkiishangilia na kuiendeleza wakati wa kampeni.....Hii inaonyesha kuwa huko tunakoelekea kama moto utawaka kuna uwezekano mkubwa kuwa hautakuwa CCM Vs CHADEMA bali Waislamu Vs Wakristo...na watu kama hawa ndio wanajitahidi kutuelekeza huko.......Mlipokuwa mnawadhihaki wenzetu wa Kenya na nchi zingine msidhani kuwa hakuna wasiopenda kuona kuwa nasi tunapitia experiance yao......
 
Najiuliza mbona hizo kura mbovu zipo nyingi sana kuliko hata za wagombea wengine? ina maana kweli inafikia mahala watu 1000 kwenye jimbo wanaharibu kura, nashindwa kuelewa hapo
 
Hivi umeshasahau statements zako ulizokuwa ukizitoa hapa JF? Sasa hayo ndio matunda yake na tunapoelekea ndio kubaya zaidi....Yawezekana kabisa kuwa huyu sio mwislamu wala CCM lakini anajitahidi kuendeleza sumu ambayo wengi wenu humu mlikuwa mkiishangilia na kuiendeleza wakati wa kampeni.....Hii inaonyesha kuwa huko tunakoelekea kama moto utawaka kuna uwezekano mkubwa kuwa hautakuwa CCM Vs CHADEMA bali Waislamu Vs Wakristo...na watu kama hawa ndio wanajitahidi kutuelekeza huko.......Mlipokuwa mnawadhihaki wenzetu wa Kenya na nchi zingine msidhani kuwa hakuna wasiopenda kuona kuwa nasi tunapitia experiance yao......

another pumba frm omar ilyas... true puppet
 
JF imeshanunuliwa na inaendeshwa na mafisadi wa CCM. jaribu kuangalia kwa makini aina ya thread zinazoanzishwa na umri wa wachangiaji wengi. threads nyingi ambazo ni critical hazijapokelewa na zile ambazo zinaingia kwa bahati mbaya zinakuwa "moved". thread za kuanzia jana usiku zinaisifu ccm na kuiponda chadema
 
Mambo mengine yana chosha akili kabisa..!! Ukimsikia mtu mwenye akili timamu ana support utawala wa Mh. Jakaya Kikwete ni shida kubwa na ina leta mashaka sana!! Inanisumbua kichwa kusoma post za ajabu ajabu za kumsupport huyu bwana.

Kwa kupoteza viti vya ubunge ni ishara kubwa kwamba watu hawampendi Kikwete, Hilo halina Mjadala ndani ya nchi ya Tanzania. Uongozi wa JK umekuwa na mashaka mashaka sana, Na chanzo kikubwa cha kuanguka kwa Wabunge wengi si kitu kingine bali yeye JK ndio Mhusika mkuu na mlengwa mkuu hapa. Inashangaza kuona mlengwa mkuu amepata kura nyingi wakati Mbunge wake amesha ondolewa kule jimboni kwake kwa tofauti ya kura nyingi !!!

Hatukatai kwamba inawezekana kwamba wananchi wakamchagua Mbunge toka chama kingine na rais akatoka chama kingine. Hili lipo na linafanyika sana kwa nchi za Ulaya na kwingine. Lakini kwa Tanzania niijuayo mimi, Mwananchi akichagua chama basi inakwenda sambamba kuanzia kwa diwani ,Mbunge na Rais. Na kama kutatokea tofauti basi ni kwa kiasi kidogo sana ambazo si zaidi ya Kura 50 hadi 100.

Chama Cha Mapinduzi baada ya kuliona tatizo hili la kuanguka kwa mheshimiwa JK wamejaribu kuleta hili igilizo la wenzetu wa Nchi zilizoendelea ili iwe kisingizio cha kuweza kujitetea. Kwamba Inawezekana kabisa Wananchi wamemchagua mbunge toka chama kingine na Rais toka chama kingine....HILI KWA TANZANIA BADO HALIWEZEKANI. ELIMU HIYO WATANZANIA TULIO WENGI HATUNAYO.... Kuweni wa wazi the source hapa ni Rais Kikwete. People they dont like him...Akubali au akatae. Kipindi cha miaka mitano ya mwanzo watu walimpokea vizuri kwa ushindi wa Kishindo lakini si kwa Kipindi hiki cha mwaka 2010. Hii ni sawa na wenzetu wa Marekani. OBAMA alishinda vizuri na watu walimpokea vizuri sana. Ndani ya Miaka miwili hii watu wamekuwa very dissapointed kiasi cha kuanza ku vote in other direction.

Basi na sisi Watanzania tukubali hilo.Hakuna ulazima wa mtu ambaye tunaona wazi kwa macho yetu kwamba kashindwa kutawala kumpa muda wa kuendelea kuitawala nchi wakati uchumi wa nchi unazidi kuteketea..Tumemchagua 2005 tumeona alivyo tudharirisha kwa kutukimbiza kwenye misaada wakati nchi yetu inao uwezo mkubwa wa kujiendesha endapo kutakuwa na udhibiti mzuri wa mali tulizo nazo. Ya nini tuendelee kuwa na Rais ambaye amebakiza kutuvua nguo mbele za wazungu? Kila kukicha misaada, Misaada ,Misaada. Obama kasema atatusaidia.Ili iweje? .Mtu wa jinsi hii ni wanini katika kipindi hiki tulicho nacho cha maisha? Watanzania tunataka kujitawala na kujitegemea wenyewe. Huu ukilitimba wa budget ya nchi kutegemea misaada toka nchi zingine hauna manufaa kwetu. Nchi hii inateketea..!

Nasupport chama chochote chenye kuweza kutupeleka pale ambako tuna stahiri kufika. CCM / Kikwete hatatufikisha popote. Chama hiki kimekuwa tegemezi kwa baadhi ya watu/ matajiri wachache ambao kwa manufaa yao binafsi wamekuwa wakikitumia. Watu hao hawana jema lolote kwa watanzania maskini walio wengi.

KWA UCHAGUZI HUU NAUNGA MKONO NA KUSUPPORT KUTOKUKUBALI KWA MATOKEA ALIKOKUZUNGUMZIA DR SLAA KWA MANUFAA YA TAIFA NA SI KWAMANUFAA YA CHAMA.
 
it is so saaaad!!
nashindwa kufanya kazi, mawazo mengi.
Hivi ina maana kuna watu kiukweliii wanafurahia sana wizi unaofanyika hapa nchini na hawa viongozi wetu tuliowachagua???
huwa napata shida sana kuelewa hili jambo.
 
mimi hadi asa hivi najilazimisha kuamini kinachoendelea
 
All this tells me that the Synovate guys were very right

Matokeo yamepikwa kuverify hiyo kitu. Kumbuka katika toleo moja la Mwanahalisi walisema kuwa nyaraka walizonasa kutoka Slava kwenda kwa washirika wao mbalimbali, Synovate walitajwa kuwa wahusika katika kampeni za JK.
 
Chadema ilipiga kampeni ya kuchagua mtu na si chama. Wananchi wakawasikia, katika sehemu nyingi ambazo wapinzani toka chadema wamepata kura nyingi kwenye ubunge, kwenye urais walimpa Kikwete. Wailiona wazi kuwa Slaa hana credibility ya kuwa Rais.

Any way ndio siasa, kubalini kushindwa mjiandae kwa 2015. Mkianza kuleta za kukataa matokea 2015 wananchi watawanyang'anya hata majimbo waliyowapa dhamana. Watanzania sio mbumbumbu kama mnyavyodhani. Wanahitaji mabadiliko ya kweli na sio longolongo na matusi.
 
Poor analysis, Ama
 
Mgombea
Idadi ya Kura
%
Mziray Petter
96633
1.12%
Kikwete
5276827
61.17%
Slaa Petter
2271941
26.34%
Lipumba
695667
8.06%
Rungwe
26388
0.31%
Mgaywa
17488
0.20%
Dovutw
13176
0.15%
 
Naomba kikwete uanze na haya

1. Kufuta msamaha wa kodi kwa mashirika ya dini

2. Kuwakomesha waikristo

3. TZ kujiunga na OIC

4. Kuanzisha mahakama ya kadhi
 
Chadema ilipiga kampeni ya kuchagua mtu na si chama. Wananchi wakawasikia, katika sehemu nyingi ambazo wapinzani toka chadema wamepata kura nyingi kwenye ubunge, kwenye urais walimpa Kikwete. Wailiona wazi kuwa Slaa hana credibility ya kuwa Rais.

Any way ndio siasa, kubalini kushindwa mjiandae kwa 2015. Mkianza kuleta za kukataa matokea 2015 wananchi watawanyang'anya hata majimbo waliyowapa dhamana. Watanzania sio mbumbumbu kama mnyavyodhani. Wanahitaji mabadiliko ya kweli na sio longolongo na matusi.
uvundo na uoza
 
Naomba kikwete uanze na haya

1. Kufuta msamaha wa kodi kwa mashirika ya dini

2. Kuwakomesha waikristo

3. TZ kujiunga na OIC

4. Kuanzisha mahakama ya kadhi
Yote haya manne hayatawahi kutokea Tanzania.
 
Back
Top Bottom