Tanzania Election 2010 Results as per NEC

Tanzania Election 2010 Results as per NEC

Jamani vp?mbona motokeo redioni yanaonesha Slaa hali mbaya kuliko maelezo.Kinyume na hapa JF

Nipe ukweli mkuu, humu ni ushabiki tu. Let's write the truth. Slaa alifaa awe bungeni sasa tutammiss. Anyway, next turn asikubali tena kugombea urais, anafaa ubunge tu.
 
Jamani vp?mbona motokeo redioni yanaonesha Slaa hali mbaya kuliko maelezo.Kinyume na hapa JF

hizo ni mbinu za CCM waonyeshe kuwa wanakubalika na wakija kwenye maeneo waliyochakachua na watu wakiyapinga matokeo waonekane wana fujo, mbona arusha, mwanza, ubungo, kawe ni mjini kabisa na kila kitu kiko tayari mbona hawatangazi?
 
Jamani vp?mbona motokeo redioni yanaonesha Slaa hali mbaya kuliko maelezo.Kinyume na hapa JF
soma jiografia ya nchi, hasa kwa maeneo wagombea wanawika zaidi...! kila mmoja an uwanja wake mkuu...! sasa majimbo yapi yameshatajwa hadi sasa?
 
Wewe kada wa CCM toka hapa, unadhani kama si uchakachuaji, ccm ingepumua? Mmechakachua kura kwa kutoa Tsh.100,000 kwa kila mtu anayeipigia CCM huko Bukoba bado Kikwete amelazwa chari umeambulia Ubunge tu. Hata kama mtashinda ni kwa uchakachuaji, tumestudy mbinu zenu, 2015 tutawazika kusikojulikana! Msaliti mkubwa wewe! Hufai hata kuitwa mtanzania!
 
Ni kwanini tunapata matokeo ya mikoani tuu..Dar nako kuna jiografia problem.? c'mon tume...
Mnaipeleke nchi pabaya sababu ya tamaa zenu zilizopitiliza...
 
Wewe kada wa CCM toka hapa, unadhani kama si uchakachuaji, ccm ingepumua? Mmechakachua kura kwa kutoa Tsh.100,000 kwa kila mtu anayeipigia CCM huko Bukoba bado Kikwete amelazwa chari umeambulia Ubunge tu. Hata kama mtashinda ni kwa uchakachuaji, tumestudy mbinu zenu, 2015 tutawazika kusikojulikana! Msaliti mkubwa wewe! Hufai hata kuitwa mtanzania!

huko biharamulo pia ccm :rip:
 
Hard to believe this.....There is Cooking and Cookery.....This is COOKERY.... These Guyz planned this Long ago...They have a plan I dont know on how to rule us for the next 5 years (五&#24180😉 na kama watamtangaza Masha then he is part and Parcel of that plan....Just ask urself...How many CCM have LOST??? Why him??? Why Mwanza??? We all own this country, It doesn't belong to a bunch group of people and there Families....It hurts coz this was our only way to get rid of such maggots.....But here we are...There are still Demand to be where they dont belong...Where we dont want them to be......If they think we are STUPID then TRY US............
 
hizo ni mbinu za CCM waonyeshe kuwa wanakubalika na wakija kwenye maeneo waliyochakachua na watu wakiyapinga matokeo waonekane wana fujo, mbona arusha, mwanza, ubungo, kawe ni mjini kabisa na kila kitu kiko tayari mbona hawatangazi?

Hapo ujue wanajaribu kwenda kinyume na matakwa ya wapiga kura!!!! Inabidi watangaze hawana ujanja!!!!

Tiba
 
Tume ya Uchaguzi itaanza kuangaza matokeo rasmi ya kura (Uraisi & Ubunge) zilizo HAKIKIWA kwa nchi nzima...

ZILIZOHAKIKIWA maana yake ni ZILE zilizopewa kibari na IKULU/CCM.

Kuna mtu amevujisha habari kutoka Kigoma mjini ambapo kwa mara ya tatu, wamerudia kuhesabu kura na matokeao ni kwamba Peter Serukamba kazidiwa na mgombea wa CHADEMA. Ila sasa, MAKAMBA kampigia simu DED na DC na kuwapa AMRI kwamba mgombea wa CCM ndo atangazwe mshindi.

Kale kazee sijui kanapata wapi nguvu hizi...
 
Jamani vp?mbona motokeo redioni yanaonesha Slaa hali mbaya kuliko maelezo.Kinyume na hapa JF
Tatizo hapa JF watu wengi wanafanya ushabiki badala ya kutumia takwimu na hizo data ziwe zimethibitishwa. Kata mbili au tatu zikiwa upinzani katika kata 16 tayari utaona imeandikwa kuwa ushindi katika jimbo na urais, wakati mwingine ni 'redio mbao' lakini comments zitakuwa page hata kumi za kushabikia.
Mimi jana saa 6 usiku nilienda kunywa bia eti fisadi mramba kashindwa lakini hadi sasa matokeo ya rombo bado sijayasikia. Hivyo matokea ambayo siyo rasmi usiyatilie maanani soma na kusubiri ya nec ili usipate pressure.
 
Ambao mko kwenye TV, tuandikieni matokeo ya urais ambayo NEC wanarusha sasa.
 
Longido --- Mziray - 157, Kikwete - 17066, Slaa - 2702, Lipumba - 114, Kirungwe - 10, TLP - 4, UPDP - 7 haribika 344

Chilonwa - APPT - 319, CCM - 19780, Chadema- 2439, CUF - 179, NSSR - 25, TLP - 18, UPDP - 18

Mpanda Vijijini - APPT - 128, CCM- 7817, Chadema - 3669, CUF - 378, NSSR - 26, TLP - 17, UPDP - 13

Siha - APPT 241, CCM - 15570, Chadema - 7226, CUF - 83, NSSR - 18, TLP - 11, UPDP - 14

Kwa matokeo hayo JK amezidi kuendelea kupeta..ila badoooooo....huku ni kule kule tunakosema tulijua itakua hivyo...
 
No no no no no no!
 
Wao waendelee tu kuchakachua kura za urais!!! Wabunge wetu watuachie maana sisi ndo tumeamua kuwakilishwa hivyo!!!
 
Back
Top Bottom