Tanzania Election 2010 Results as per NEC

Tanzania Election 2010 Results as per NEC

kuna watu machizi keli yaani kapanga foleni kwenda kumpigia dovutwa???????????????? mbona wanatangaza matokea ambayo wanajua hakuna ushindani??? hayo mengine wanataka kuchakachua??
 
Magogoni
JK 696
Dr. 50
Prof. 6044
Bukoba Mjini.
JK 15,410
Prof. 449
Majimbo kumi yametimia watatuita tena kutupa kumi mengine. Nimeyapata kwenye hard copy, natafuta scanner nimscanie Invisible.

matokeo mengine ni saa 11 jioni na ya mwisho saa 2:00 usiku.

kwa hiyo watakuwa wanatoa majimbo kumi kumi mpaka jumapili ijayo au sio?
 
toa pumba zako hapa za ccm fisadi mkubwa wewe

Sidhani kama jamaa anatoa upumbavu ila nadhani ndiyo Ukweli ambao hata mimi siufurahii ila koz ndiyo ukweli then I think Acceptance will keep us in peace....................Nadhani Dr. Slaa hata kama atashindwa ila ametoa ushindani from point A to B.....BIG UP my Beloved Prezidaa....Dr. Slaa.............
 
Hata kama ...... hapo ndipo kwenye uzito mkubwa sana.
 
majimbo 10 kwa sasa kati ya majimbo 200 si itachukua wiki moja
 
kuna watu machizi keli yaani kapanga foleni kwenda kumpigia dovutwa???????????????? mbona wanatangaza matokea ambayo wanajua hakuna ushindani??? hayo mengine wanataka kuchakachua??

Hahahahhahaha! Jamani wengine tuko maofisini acheni kutuchekesha!
 
Nimefurahishwa kusikia mambo ya 80% imekwenda kwa Lipumba tu..........!!
 
Malaria Sugu, alipigana peke yake sasa kuna dalili ataibuka mshindi na chama chake cha CCM.

Ulikuwa wapi kumsaidia. Toa maneno hapa..... sasa hivi tunapokea matokeo tuu. Kampeni imekwisha wacha muneno!!
 
Pasco fanya sum up utupe jumla ya kura mpaka sasa katika hayo majimbo kumi
I mean JK anakura ngapi zilizohakikiwa na Slaa tupate ulinganifu wa kura zao.Naona anadalili za kushinda kwa B+ lakini sio A.. kama 71% hvi
 
matokeo kama yalivyotangazwa na NEC muda mfupi uliopita
so far:

  1. Kikwete 64% 105,940
  2. Slaa 25% 41,198
  3. Lipumba 8% 13,812
nitaendelea kuwapa za uhakika kadri zinavyotangazwa na Tume na kuwa updated kwenye mtandao wa mwananchi link: Mwananchi Election Editions

hii ina issue yote as it is confirmed by NEC.
 
NN, ndio maana wamechelewesha matokeo

ila jamani kwenye hayo majimbo ambayo yameshatangazwa mbona naona kama vile kura alizopata slaa haziendani wala kulingana na enthusiasm iliyokuwepo. Au ni mimi tu nionaye hivyo?
 
matokeo kama yalivyotangazwa na NEC muda mfupi uliopita
so far:

  1. Kikwete 64% 105,940
  2. Slaa 25% 41,198
  3. Lipumba 8% 13,812
nitaendelea kuwapa za uhakika kadri zinavyotangazwa na Tume na kuwa updated kwenye mtandao wa mwananchi link: Mwananchi Election Editions

hii ina issue yote as it is confirmed by NEC.

Hope upepo utabadilika wakishatoka kwenye hizo ngome za CCM na CUF
 
Matokeo kama yalivyotangazwa na NEC muda mfupi uliopita
so far:

  1. Kikwete 64% 105,940
  2. Slaa 25% 41,198
  3. Lipumba 8% 13,812
nitaendelea kuwapa za uhakika kadri zinavyotangazwa na Tume na kuwa updated kwenye mtandao wa mwananchi link: Mwananchi Election Editions

hii ina issue yote as it is confirmed by NEC.
 
man i was expecting more votes for Slaa but havent give up yet
 
Back
Top Bottom