Tanzania Election 2010 Results as per NEC

Common elections were organised in Tanzania on 31 Oct 2010.[1] The presidential elections were won by the obligatory Chief executive Janaya Kikwete of the Chama Cha Mapinduzi celebration (CCM), who obtained 63% of the elect.
 
Unareport ama unatangaza matokeo rasmi?


Common elections were organised in Tanzania on 31 Oct 2010.[1] The presidential elections were won by the obligatory Chief executive Janaya Kikwete of the Chama Cha Mapinduzi celebration (CCM), who obtained 63% of the elect.
 
Election observers from the European Union and elsewhere say the party used the state to advance its own interests.
 
Female's privileges are constitutionally assured but not consistently secured. Nevertheless, females are relatively well showed in parliament, with over 30 % of chairs.
 
hawawezi kuweka matokeo ya uchaguzi y 2010 kwenye mitandao coz wanaogopa kumuumbua rais kukwete na kumpa sifa doctor slaa.
 
Tanzania bado tukonyuma sana nakilakitu tunacho president jk mrisho kikwete yeye kwa sasa ndiyo baba wa taifa tunamtegemea
 
Matokeo ya uchaguzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa

Walio piga kura 8,626,283 – 42.84%[/FONT]

Kura zilizoharibika – 227,889 – 2.64%[/FONT]

Kura halali – 8,393,394 – 97.36%

1. APPT Maendeleo – 96,933 – 1.12%[/FONT]

2. Chama Cha Mapinduzi – 5,276,827 – 61.17%

3. CHADEMA – 2,271,941 – 26.34%[/FONT]

4. CUF – 695,667 – 8.06%[/FONT]

5. NCCR Mageuzi – 26,388 – 0.31%[/FONT]

6. TLP – 17,482 – 0.20%[/FONT]

7.UPDP – 13,176 – 0.15%[/FONT]
 
Endapo vyama vya chadema,cuf na nccr vikiungana na kumsimamisha mgombea moja basi CCM waage mapema!
 
ndio maana wanahofu na ukawa wanajua kilichopo mbele yao, ukawa endeleeni kuwaunganisha wananchi na si ccm waanzilishi wa udini na ukabila.
 
KWa kuwa wachakachuaji wote wako tayari majimboni, tunaanza kupewa yaliyochakachuliwa!!!

Mungu tusaidie...:doh:
B.jpg
 
Back
Top Bottom