Tanzania Election 2010 Results as per NEC

Ujue tatizo kuna wapumbavu wengi walio na upeo mdogo sana walipiga kura kwa kufuata dini! hayo ni majitu ambayo hata kesho hayajui yatakula nini!ni mizigo kwa maendeleo ya nchi iliyobarikiwa kila kitu kama TZ:A S angry:!
 
Tume imetangaza tena matokeo ya urais kwa majimbo mengine.wenye access fuatilien iko live kwenye t
Tv.
 
Ujue tatizo kuna wapumbavu wengi walio na upeo mdogo sana walipiga kura kwa kufuata dini! hayo ni majitu ambayo hata kesho hayajui yatakula nini!ni mizigo kwa maendeleo ya nchi iliyobarikiwa kila kitu kama TZ:A S angry:!

Umeonaaaaa enhe! yaani hata mimi kidogo tu niseme hivyo hivyo. Tatizo kuu la nchi yetu ni umaskini uliokithiri, mtaalamu wa Uchumi ambaye pia ameshawahi kufanya tafiti mbali mbali na kutoa ushauri kitaifa na kimataifa yupo....lakini wapi! watu wamekwenda kumchagua Padre....! Kisa ni mkristo mwenzao! yaani mikoa yote yenye Wakristo wengi ni Slaa tu! duuh! Kuanzia Uchagani, Kanda ya ziwa, Umasaini, unyakyusani.....!.
 
Acha Akili mgando wewe ulitaka achaguliwe na mashetani,,Huyo Prof wenu ni njaa tu, na hakuna kingine, Umeangalia kura za umasaini Longido, Monduli, wamempigia Slaa?

Na huyo Prof wenu wakati wa kunadi sera za hicho chama chake yeye si aliwafuata waislam wenzake lindi na mtwara, Alienda shinyanga? Moshi? Umasaini?

Tatizo kuna baadhi ya wafuasi wa CUF mmelewa Uislam, mnafikiri hili taifa litaongozwa kwa misingi ya imani yenu, mnajidanganya,, Lipumba wenu anapoteza muda,kwa kumsaidia mpelekeni Kwenye chuo chenu morogoro akafundishe
Mtaishia kulalalama tu
 
kama upumbavu nawe unao mwingi tu.huoni miko yenye waislamu ni lipumba tu wakati hauziki miaka yote hiyo?na mwislamu mwenzie kikwete.majimbo mengi ya wakristo,tena hao wakatoliki kikwete kashinda.usikurupukie mada.
 
Tume ya Uchaguzi ndio inatangaza matokeo mengine ya urais, majimbo 28. Haya ndio ya misho kwa usiku wa leo.
 
Ujue tatizo kuna wapumbavu wengi walio na upeo mdogo sana walipiga kura kwa kufuata dini! hayo ni majitu ambayo hata kesho hayajui yatakula nini!ni mizigo kwa maendeleo ya nchi iliyobarikiwa kila kitu kama TZ:A S angry:!

Nyie endeleeni kutukana wakunga ingali uzazi bado mwautaka......
 
Tume ya Uchaguzi ndio inatangaza matokeo mengine ya urais, majimbo 28. Haya ndio ya misho kwa usiku wa leo.

Kaka ukitupatia yote kwa pamoja with Charts itatupa kausisingizi kidogo usiku wa leo.....
 
Wakuu mi nashauri nyia ya haraka ili kuhakikisha kama wanachokisoma tume ni sahihi, Je hamna njia ya kupata copies za matokeo ya Urais kutoka kwa mawakala wa majimbo yote kwa upande wa upinzani ili yajumlishwe kwa usahihi zaidi?

Nadhani mawakala baada ya kusaign wanatoka na copy zao.

Pia kwa nini matokeo ya urais yasitangazwe jimboni ndipo yapelekwe makao makuu kwa majumuisho?Please toa mchango wako ili kufanikisha jambo hili
 
Kweli hawa watu wa NEC wanafanya Watanzania ni wajinga sana, Nani anaweza kuamini kuwa prof. Lipumba naweza kuwa anamzidi Dk. Slaa.

Hata kama Lipumba kapata kura za Pemba kwani Pemba watu wangapi waliga kura. CUF imepata majimbo mangapi bara. NEC hacha kutufanya hatuna akili hata kama Dr, hatashinda lakini tuambia walau uongo unafanana fanana na ukweli.

Sina tatizo na Prof. lakini siamini anaweza kumzidi Dr Slaa
 
Tume ya Uchaguzi ndio inatangaza matokeo mengine ya urais, majimbo 28. Haya ndio ya misho kwa usiku wa leo.
 
Acha Akili mgando wewe ulitaka achaguliwe na mashetani,,Huyo Prof wenu ni njaa tu, na hakuna kingine, Umeangalia kura za umasaini Longido, Monduli, wamempigia Slaa?

Na huyo Prof wenu wakati wa kunadi sera za hicho chama chake yeye si aliwafuata waislam wenzake lindi na mtwara, Alienda shinyanga? Moshi? Umasaini?

Tatizo kuna baadhi ya wafuasi wa CUF mmelewa Uislam, mnafikiri hili taifa litaongozwa kwa misingi ya imani yenu, mnajidanganya,, Lipumba wenu anapoteza muda,kwa kumsaidia mpelekeni Kwenye chuo chenu morogoro akafundishe
Mtaishia kulalalama tu
Chonde chonde mkianza udini itakuwa haina maana tumieni page hii kwa busara tafadhali tusianze kukorogana hapa sote ni watz tutakuwa hatufiki mbali
 
Back
Top Bottom