Tanzania Election 2010 Results as per NEC

Wanachadema matokeo ndio hayo yameanza kutangazwa bado mna imani kwamba Dr Slaa atakwenda Ikulu? Mimi nimekata tamaa uwezekano huo haupo tena lakini tunamshukuru Dr slaa kwa kutoa changamoto na anaombwa kufika kumpa mkono wa pongeza atakayeshinda nafasi ya Urais. Nia hapa ni kuonyesha uungwana.
 
Tumbe
JK 633
Dr. 57
Mtwara Mjini
JK 18,080
Dr. 4415
Prof. 6198
Prof. 6000 plus

Babati
JK 12699
Dr. 7582
Prof. 102
 
Wanachadema matokeo ndio hayo yameanza kutangazwa bado mna imani kwamba Dr Slaa atakwenda Ikulu? Mimi nimekata tamaa uwezekano huo haupo tena lakini tunamshukuru Dr slaa kwa kutoa changamoto na anaombwa kufika kumpa mkono wa pongeza atakayeshinda nafasi ya Urais. Nia hapa ni kuonyesha uungwana.

toa pumba zako hapa za ccm fisadi mkubwa wewe
 
Jimbo la BUKOBA MJINI

Mziray 117
Kikwete 15,410
Slaa 15,604
Lipumba 449
Rungwe 14
Mtamwegwa 14
Tuvutwa 9

Hili ni jimbo la 10 kutangazwa na la mwisho kwa sasa...
 
ndio maana wamechelewa kutoa matangazo na sasa wanaanza na kambi zao ili kuwaandaa watu kisaikolojia
 
Awamu nyingine ya matokeo toka NEC yatafuata saa 11 jioni na saa 2usiku kwa mujibu wa mkurugenzi wa NEC bwana Rajabu Kiravu
 
Magogoni
JK 696
Dr. 50
Prof. 6044
Bukoba Mjini.
JK 15,410
Prof. 449
Majimbo kumi yametimia watatuita tena kutupa kumi mengine. Nimeyapata kwenye hard copy, natafuta scanner nimscanie Invisible.

matokeo mengine ni saa 11 jioni na ya mwisho saa 2:00 usiku.
 
Malaria Sugu, alipigana peke yake sasa kuna dalili ataibuka mshindi na chama chake cha CCM.
 
Back
Top Bottom