babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,939
- 20,231
Sijawahi kuone jeshi eti linafanya maonyesho ya kuvunja matofali...IQ za watanzania hovyo kabisa
Sijawahi kuone jeshi eti linafanya maonyesho ya kuvunja matofali...IQ za watanzania hovyo kabisa
Rudia tena hamna cha maana ulichoandika
Sijawahi kuone jeshi eti linafanya maonyesho ya kuvunja matofali...IQ za watanzania hovyo kabisa
Nilichoandika ni kwa ajili ya akili kubwa tu! Akili ndogo huwezi kuelewa.
Ulishawahi kuona jeshi linafanya maonyesho ya nini?
Hiyo akili kubwa ni matokeo ya kipimio chake kua kidogo! Hujui kitu mkuu kaa kimya kuficha ujinga wako
kelele na kejeli za nini.Ingiene mzigoni kuzipimz hizo IQ ndogo achakuandika post alafu unamuonyesha mkeo ni me watusi JWTZ JF kama unakojoa huku dudu lime dinda ingia mzigoni ikiwezekana ungana na Kagame
majeshi yana nguvu ya umma?misri,tunisia hawana majeshi?tungewasifia kama wangekua ni madaktari bingwa na kutibu wagonjwa hasa akina mama waliopo hospitalini sio kuruka ruka tu kama wahuni.shida yetu ni elimu bora na tiba bora.sio vifaru na kuvunja matofali
US si levo yetu
Hawana tofauti na akina kingwendu..waende afghanistan wakaonyeshe huo ukomando..ukomando sio kuvunja matofali...jk bwana hivi unafikiria hivi vitu kweli..acha sanaa ujijengee heshima huu mnaofanya ni upuuzi
kwanza nyingi sana waziuze,then pesa tununulie madawati,silaha nyingi za nini wakat maadaui wetu wanasiasa walaf wanatukanana na kupata pesa,wanaoficha pesa nje na wanaojilimbikizia mali,,,,,
najivunia kuwa na JESHI IMARA,critics endeleeni na kudai haki zenu za kuoana sisi tunajenga nchi,nafurahi kuona hata kodi nayo katwa kila saa na kila dakika walau inatengeneza vijana kama hawa
Nakumbuka M23 Walitoa maneno zaidi ya haya ..... nadhani MKAMASIMBA naye anatamani kuchangiaYale yale IQ ndogo ..unaona mavi unadhani keki ...TZ hakuna jeshi ni kikundi cha waigizaji...kama mna jeshi si mlipeleke afghanistan au somalia? Si mna jeshi imara ninyi pelekeni huko...mxxxxxxxx....wote walioenda jwtz ni wale vilaza waliofeli shule so hawanipi shida sana...
Umeonaeee! Miili ya mazoezi hayo! Muda mwingine nawakubali!
Wangepewa zoezi la kutokomeza mauaji wa tembo nafikiri hilo lingekoma!