Tanzania Commandos show


John Kachembeho if so,inakuaje ile ndege ya uarabun tena ya kijesh ikaja na ikaiba twiga????au Kilimanjaro hakuna kambi ya jeshi???
Then mara kadhaa baadhi ya askari wa JWTZ wanahusishwa na ujambaz,,,,,,hili nalo linasababishwa na njaa ya wanajeshi au tabia mbaya za wanajeshi(ambao hawachujwi)?then swali lingine ni,JWTZ inaundwa na kikosi cha majini,je zile meli zinazoiba samak kwenye bahar kuu who is responsible???mfano ni ile meli ya samak wa magufuli,
 
Last edited by a moderator:
Wekeni na clips za video ambao tulikua mashambani nasi tuone.
 
Umeonaeee! Miili ya mazoezi hayo! Muda mwingine nawakubali!

Wangepewa zoezi la kutokomeza mauaji wa tembo nafikiri hilo lingekoma!

kwani hukumbuki opereshen tokomeza ujangili JWTZ walikuwepo???na kuna wakina mama walibakwa,na kuna wengine walilazimishwa kubakana na kuna waliosokomezwa miti kwenye papuchi,y shamsi vuai nahodha aling'olewa???
 

Habari hizo zilikufikiaje?
 
Mkuu tumia japo akili ya kuzaliwa kidogo,,,hivi wangezikwepa risasi hapo uwanjani unadhani risasi hizo zingeelekea wapi?

Zingeelekea kwa makomandoo, si uliona tofali zilivyokua zinafanywa na kwa risasi pia zingefanywa vivyo hivyo ili tujue utofauti wa sisi wa mtaani tunao vunja vitofali vya kuchoma na wao otherwise hizo ni mbwembwe tu ambazo ktk action watakimbia hao makomandoo, ngumi jiwe
 
Usiseme mgonjwa, mwambie kodi yake ilitumika kuwafunza watoto wa wakulima na wafanyakazi kuwa walinzi hodari wa nchi yake? Afahamu hawa vijana wanapewa mafunzo ndani na nje ya nchi hii.
 
majeshi yana nguvu ya umma?misri,tunisia hawana majeshi?tungewasifia kama wangekua ni madaktari bingwa na kutibu wagonjwa hasa akina mama waliopo hospitalini sio kuruka ruka tu kama wahuni.shida yetu ni elimu bora na tiba bora.sio vifaru na kuvunja matofali
 
mazingaombwe kwani hamuyajui toka lini ngumi ikavunja jiwe duuh! kweli wabongo vichwa panzi mnadanganyika hivi hivi

Duu...kwa hiyo unaona haiwezekani mkuu? Pole hivyo ndivyo ilivyo hayo mazoezi sio ya siku moja kama kwaya mkuu wana bajeti kubwa sana kwa kazi hiyo na trainings za maana
 

ukiandika ukweli huu kuna watu wananuuuuna hasa huyu mwaxxxx
 
Last edited by a moderator:
Acheni utani hawa jamaa.muulizeni Kagame na waasi wa Anjuani wanajua mziki wao.Geshi letu chezea mengine sio JWTZ.Kagame alifahamu vizuri sana labda ngoja aje hapa jamvini awathibitishie

Do not be brainwashed by the system brother! You'll never have the good and strong army in a poor and weak economy! Jeshi sio kuvunja matofali na kurusha mateke hewani..jitahidi utoke gizani...
 

Ulitaka wamuue osama?
 

Rudia tena hamna cha maana ulichoandika
 
Sijawahi kuone jeshi eti linafanya maonyesho ya kuvunja matofali...IQ za watanzania hovyo kabisa
 
ooh kumbe zile silaha tulizo ona pale uwanja wa uhuru jana ndio ""silaha zote tulizo nazo?"".
i thought i was just a sneak peak of what we've in our reserve!.duu.

hapana sijasema zote ila HUENDA zile ndio bora kabisa. Mwenye kiwango kizuri cha ufahamu wa mambo yale atakuwa ameishaujua uwezo wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…