Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,582
hilo deal la kuuza silaha mbona nasikia watu walishapiga sana mkwanja kule kwenye utitiri wa vikundi vya waasi-congo.
Ha ha haa hao uliowaona sio makomandoo wewe...hawaruhusiwi hata kuishi huko uswahilini na wala hawajitambulishi kuwa wao ni makomandoo
Watanzania tuna akili sawa na za nyumbu!!
Hayo matofari waliyokua wanayavunja ni ya tbs au haya matofari ya mfuko mmoja wa saruji matofari 70???
Mfuko mmoja wa saruji unatoa matofari 25 to 30 quality kabisa,unaweza lipigiza chin na lisipasuke!!
Mbili huwezi niambia eti komandoo anapigwa na ubao usoni! Ni ubao wa aina gani huo! Kama zile mbao za sreem board sawa but Kama no mninga wenye ukubwa wa mpini wa jembe la mkono nasema tumefungwa kamba!
mazingaombwe kwani hamuyajui toka lini ngumi ikavunja jiwe duuh! kweli wabongo vichwa panzi mnadanganyika hivi hivi
....
Hawa makomandoo gani kama waigizaji wa bongo movie. Kuna mtu pale migomigo anaitwa Jimmy Master na mwingine Seba wanacheza hayo mambo pengine hata zaidi.
Na rais yuko pale anachekelea tu watu wanafanya mambo ya adabu.
Kwa ukomando huu kagame anawachora tu siku akianzisha mziki hamtaweza kuhimili.
Labda tutamshinda kwa wingi sio ushujaa
.tofali la kuchoma hata Mie navunja nikilewa.
Heko kenya!! Huyu ni polisi wa special forces ya kenya...very proffession, modern, and full of tactics. Endeleeni kuwavunjisha matofali commando wetu ilhali hawana tofauti na polisi wa kenya.
Heko kenya!! Huyu ni polisi wa special forces ya kenya...very proffession, modern, and full of tactics. Endeleeni kuwavunjisha matofali commando wetu ilhali hawana tofauti na polisi wa kenya.
Una nia njema tu juu yako, technic unayoitumia kupata info hizi ni outdated!
kwa hiyo kwa akili yako marekani kwa sababu wana technologia,,wanawapiga wataliban kwa technolojia,,wao hawana makomando... wewe ni idiot,,pathetic to be specific
Its ok,ila inaweza ikawa na effect kwenye ulimwengu wa sasa?
Hivi kuna makomandoo ambao ni wanawake? Na kama nikitaka kua komandoo lazima niende jeshini? Siwezi kuomba mafunzo tu kwa matumizi binafsi? Anaejua anisaidie majibu
Matumizi binafsi kama yepi????!!!
Hivi kuna makomandoo ambao ni wanawake? Na kama nikitaka kua komandoo lazima niende jeshini? Siwezi kuomba mafunzo tu kwa matumizi binafsi? Anaejua anisaidie majibu