Ifike kipindi mabinti na wamama mpunguze ubinafsi, tumewachoka

Mbogo_beichee

Senior Member
Mar 31, 2021
175
482
Poleni na majukum watanzania wenzangu, Natumai wote tuko poa na tunaendelea kulisukuma hili gurudum la maisha ya kila siku.

Leo nimeona niwape makavu yao baadhi ya mabinti na wamama ambao wana tabia za kibinafsi tena ubinafsi wa maisha.

Yaani unakuta Mtu mwenye jinsia ya kike, akizaliwa analelewa na Baba na Mama yake, akikuwa anakuja kulelewa na Mume wake, akitoka hapo anakuja kulelewa na watoto wake. Heh!! Ni lini basi mtawasaidia hao wanaowalea? ni lini mtaanza kuona na nyinyi pia mna mchango kwenye huu utafutaji wa maisha? Nyie sio viumbe fulani maalum kwamba maisha yenu hayahusiani na maisha ya wengine.

Muda huu taongelea wale wamama au mabinti walioolewa, Unakuta Mmama yupo nyumbani kaolewa kila kitu analetewa na mumewe, hilo linaweza likawa sio tatizo sana ila sasa tuje pale ambapo mumewe kaona sasa badala ya kuangaika pekee yake anaona labda amfungulie biashara huyo mke wake, kero ndio inakuja hapo. Mwanamke anaanza kuona kama hizo biashara alitafuta mwenyew na mtu yoyote hatakiwa kutumia hela yake inayotoka kwenye hiyo biashara. Ukimwambia changia matumizi ya nyumbani, utaona anaanza kusema mume si yupo atalipia kila kitu cha nyumbani.

Yaani kwenye manyumba ya siku hizi Baba anatoa kuanzia Ada za watoto Shule, mpaka hela ndogo ndogo kama za ushuru wa taka (3000), unakuta mwanamke kafunguliwa biashara anaingiza zaidi ya 300k kwa siku ila 3000 ya ushuru wa taka anataka bado mume atoe, mshahara wa mfanya kazi wa ndani 50k tuu bado mume ndo atoe, Mume katoa Ada ila mtoto akiwa kapungukiwa Viatu utasikia “Kamwambie Baba yako” mnakera bana.

Kuna Familia naifaham yaani wakati mume yupo vizuri alikuwa akipata hela anahudumia familia na mke wake anamfungulia maduka, ila sasa mambo ya mwanaume sio mazuri sana, kinachokuja kushangaza ni kuwa mwanaume anaweza kufeli 2m akaanza kuangaika kuazima kwa ndugu zake wakati muda huo huo mke wake anasafiri kwenda maulaya kununua mizigo ya dukani. Sasa swali la kujiuliza yale maduka yalifunguliwa kwa ajili ya nani haswa ni kwa hiyo Familia yote Baba mama na watoto ama huyo mwanamke pekee yake? Em achane hizi tabia wanawake wa leo, mkimuangalia Mwanaume mmuone kama ni Mtu ambae unaeenda kufanya nae maisha, sio daraja la kuvuka kwako kimaisha.

Halafu kuna hawa wengine ndio balaa zaidi, muda wote anataka aonekane mwema kwa watoto, mtoto akifanya kosa kila saa utasikia tamwambia baba yako, halafu mfano mtoto akiwa na Uhitaji wa kitu fulani cha hela, ataenda kwa mumewe apewe hela yeye halafu ndio akampe huyo mtoto, rengo amkalilishe mtoto kuwa Baba ni mkatiri sana na yeye ni mtu mpole na mwenye upendo mwingi, mtoto akihitaji hela au kitu chochote atampa ila Baba ni pale mtoto anapokosea tuu ndo atamuona rangi yake, basi na hizo hela pia muwe mnawaambia kamwambieni Baba yenu ili waje wachukue mikononi mwa Baba zao.

Yapo mambo mengi sana ambayo wanawake au mabinti wa sasa wanafanya kibinafsi sana, kwa leo niishie hapo ila rengo wajifunze basi, wawe wasaidizi wa kwenye familia kama inavopaswa kuwa, sio kumuona mwanamme ndio njia ya kutoboa kimaisha.

POVU LINARUHUSIWA.
 
Haya yote kwasababu mnapuuza, kila tukisema KATAA NDOA hamuelewi,KATAA NDOA,NDOA NI UTUMWA hamuelewi....

Kila siku tunawaambia NDOA Ni kwaajili ya kumkandamiza MWANAUME hamuelewi....

Yamekukuta huko unaleta spika zako humu na Sisi tunakuangalia Tu unyooshwe
 
Mzee baba ukikuta dem mbinafsi uwe umeoa au haujaoa

Mziki upo pale pale
 
Nikweli unayosema ila tambua hulazimishwi kufanya hivyo, unatoa kwa hiyari yako mwenyewe. Hata kusaidia wazazi wako tambua kuwa sio lazima ukiona umechoshwa piga chini endelea na maisha yako.

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Kumbuka huyo ni mke wako ama binti ambaye umeamua kufanya nae maisha,

Na mara nyingi tunapowafungulia biashara sio kwa ajili ya kuwasaidia wenyewe kutoboa, tunawapa ili na yeye awe anajiweza kuhudumia familia au kuwa msaidizi wa mume kama inavompasa kuwa.

Sasa hawa ndugu zetu wanaona ndo sehem ya kutobolea kimaisha
 
Umeandika vitu viiingi ila usichokijua ni kwamba mwanamke ameumbiwa kupokea tu na siyo kutoa.

Ukilijua hili basi utatamani ulifute andiko lako.
"Mwanamke ameumbiwa kupokea"

Em elezea vizuri ni kuumbwa huku huku ama?

Mbona wengine hutoa vizuri tuu, wenyewe sio wanawake?

Na vipi mwanamke akiachika (mfano single mother) wanapohudumia familia, pale uumbaji unabadilika?

Huoni hii ni kitu ya kujiendekeza tuu kwa sababu fursa inapatikana?
 
Labda nianzie mbali kidogo.

Mwanamke akiwa na mwanae wa kiume hata wa miaka mitatu tu ana imani kwamba ana ulinzi wa kutosha pale alipo.

Biblia inamuagiza mwanaume ampende mwanamke.

Sheria za ndoa zinamuagiza mwanaume kumuhudumia mwanamke.

Style Takatifu ya kufanya mapenzi mwanaume anakaa juu ya mwanamke na mwanaume**ndiye anatoa uume kumuingizia **mwanamke.

Mwanaume atatoa mbegu zake anamuwekea mwanamke na kuwezesha mimba kutungwa.

Hivyo mwanaume* kiasili ni mtu wa kutoa na **mwanamke asili yake ni kupokea.

Hiyo ndiyo kanuni. Kama unabisha utateseka sana!
 
UZI UFUNGWE

Kwa comment hii matata...
 
Back
Top Bottom