Tangu nihisi mume wangu ana michepuko sina hisia nae

Tangu nihisi mume wangu ana michepuko sina hisia nae

Tatizo sio mmeo kuwa na michepuko.

Tatizo una wivu, punguza wivu, jifunze kushea neema za hii dunia na wenzio.

Sensa inaonyesha wanaume ni wachache ukilinganisha na wanawake.
Una maananisha kuchepuka n neema?
 
Tumeambiwa tuoe Wawili,watatu,au waanne lakini tukishindwa kabisa kuwafanyia uadilifu tuoe mmoja ,hivyo ndivyo MUUMBA wetu alivyotuambia .Tukifanya hivyo ndio Daawa ya mchepuko
 
Habari wana JF,

Kiukweli nashindwa kujielewa,tangu nihisi mume wangu ana michepuko sina hisia nae kabisa. Sijui hata nifanyaje na ninaishi nae ndani.

Wadau nipeni mawazo.

ndio mijanaume ilivyo dada....ubora wetu ni kugegeda tuu
 
Kwa hiyo umejiona mjaaaanja kuja kunishtakia humu, ulidhani sitojua ee? Yako mi siyasemi humu, ila utaelewa tu kwa nin niliamua kuchepuka
 
wanaume hawajuagi tuu, ni mbaya sana kwa mwanaume kufanya kuchepuka hadi mke au mpenzi wako akahisi au akaona dalili za mwanaume kuchepuka au akajua kabisa kuwa unachepuka. Kwa wanakwake wakorofi watakusakama na kukufanyia ukorofi wa tit for tat. Ila kwa wanawake wengine anaweza asitafute mchepuko pembeni kama kukulipizia kisasi la akakosa hamu ya kuwa na wewe. Yaani anakuwa anaishi na wewe kama haupo vile.
Najua wengine mtasema wanawake msiishi kwa hisia zitawaumiza, ila ni rahisi sana kuhisi kuw huyu mtu anaichezea rafu kwa tabia anazozionesha mfano, mtu kurudi usiku ananukia marashi ya kike, shati lina alama za lipstic au make up, akirudi usiku simu anaizima na kuiweka kwenye chaji kila siku wakati haikuwa utaratibu wake, anatoa sauti mlio wa simu yake ikiita au msg ikiingia husikii, simu ikiita anaweza itazama asipokee na kusema aah wasumbufu hao. Au akipokea anaaza na kujibalaguza, hapo nyumbani hamjambo, mama hajamboa a kinachoongelewa hakieleweki ili yule wa upande wa pili anajua kuwa hapo mazingira si mazuri kwa kuongea hivyo atakata simu. n.k. n.k. huu uzoefu nimeupata kwa kaka zangu hivyo ...... ndo hivyo!!

Ila wale baadhi ya wanaume wanaojitambua na kujifahamu atafanya uchepukaji wake weeh wala hautakaa uje kuhisi wala kujua kama anachepuka na hapo maisha yatasonga barabara na utapata ushirikiano mia ya mia kutoka kwa mwanamke.
ole mtoa mada cha kufanya tafuta kitu kinachokufanya kuwa na furaha na ukifanye hadi pale hisia zako zikirudi.

Kasie.
Ehuuuuuuuuuuuu hapo umeongea big up
 
Tatizo la wanawake wengi mnatutamanisha sana bwana utakuta mwanamke anaumbo no 8 afu anajileta kwako unaina n bora kugonga tu Ndio tatizo
 
Uwe unachepuka au hata huchepuki hakuna mwanamke atakaemwaminigi mmewe hata siku moja. Dawa ni moja tu bora uwe na mchepuko wako mahali ili hisia zake iwe kweli. Alaa
 
hahahaha wewe shemeji tulia na mme wako usianze kuzngua bana. kwani ww alikukuta bikra bt hakujali alimua kufunga ndoa na ww na akawaacha wengne. upendo sio tendo la ndoa najua anazo sifa zingne ulizompendea mme wako ambako zaweza kufanya zikakuongezea hamu ya kuwa nae. acha kuishi kwa hisia shemeji utakonda bure.
 
Ila mm naona mchepuko mmmh some time unapenda na Unajua kutunza siri kuliko hata wife
 
Tatizo sio mmeo kuwa na michepuko.

Tatizo una wivu, punguza wivu, jifunze kushea neema za hii dunia na wenzio.

Sensa inaonyesha wanaume ni wachache ukilinganisha na wanawake.
hahaaaaaa yanakutoka rohoni kweli mkuu?
ukitaka kuwa na Amani na dhambi ya usaliti basi na wewe uwe msaliti lakini hivi hivi kikombe hicho ni bora kikuepuke
 
Acha kuishi kwenye ndoa na hisia ambazo zinaweza kuharibu ndoa yenu. Badilika mpende mumeo na umtimizie haki zake zote kama mume bila kukosa.

Habari wana JF,

Kiukweli nashindwa kujielewa,tangu nihisi mume wangu ana michepuko sina hisia nae kabisa. Sijui hata nifanyaje na ninaishi nae ndani.

Wadau nipeni mawazo.
 
Back
Top Bottom