Tangu nihisi mume wangu ana michepuko sina hisia nae

wanaume hawajuagi tuu, ni mbaya sana kwa mwanaume kufanya kuchepuka hadi mke au mpenzi wako akahisi au akaona dalili za mwanaume kuchepuka au akajua kabisa kuwa unachepuka. Kwa wanakwake wakorofi watakusakama na kukufanyia ukorofi wa tit for tat. Ila kwa wanawake wengine anaweza asitafute mchepuko pembeni kama kukulipizia kisasi la akakosa hamu ya kuwa na wewe. Yaani anakuwa anaishi na wewe kama haupo vile.
Najua wengine mtasema wanawake msiishi kwa hisia zitawaumiza, ila ni rahisi sana kuhisi kuw huyu mtu anaichezea rafu kwa tabia anazozionesha mfano, mtu kurudi usiku ananukia marashi ya kike, shati lina alama za lipstic au make up, akirudi usiku simu anaizima na kuiweka kwenye chaji kila siku wakati haikuwa utaratibu wake, anatoa sauti mlio wa simu yake ikiita au msg ikiingia husikii, simu ikiita anaweza itazama asipokee na kusema aah wasumbufu hao. Au akipokea anaaza na kujibalaguza, hapo nyumbani hamjambo, mama hajamboa a kinachoongelewa hakieleweki ili yule wa upande wa pili anajua kuwa hapo mazingira si mazuri kwa kuongea hivyo atakata simu. n.k. n.k. huu uzoefu nimeupata kwa kaka zangu hivyo ...... ndo hivyo!!

Ila wale baadhi ya wanaume wanaojitambua na kujifahamu atafanya uchepukaji wake weeh wala hautakaa uje kuhisi wala kujua kama anachepuka na hapo maisha yatasonga barabara na utapata ushirikiano mia ya mia kutoka kwa mwanamke.
ole mtoa mada cha kufanya tafuta kitu kinachokufanya kuwa na furaha na ukifanye hadi pale hisia zako zikirudi.

Kasie.
Wewe Kasie,ukijifanya eti umepoteza hisia ya kuwa na mimi na dudu yako imepoteza network,basi hapo kwangu ndio mtelemko,naishia nyumba ndogo namimina uji wote huko,nakula huko huko,naoga huko huko halafu narudi kulala nyumbani kwangu,wewe lea watoto tu na kuangalia nyumba mpaka network irudi.
 
Kasinde kicheche mchepukaji huyu msome hapo chini. Si ajabu kapoteza genye za kugegedwa na mumewe baada ya genye zake kuhamia kwa shemeji.

Nimetokea kumpenda sana shemeji yangu

wanaume hawajuagi tuu, ni mbaya sana kwa mwanaume kufanya kuchepuka hadi mke au mpenzi wako akahisi au akaona dalili za mwanaume kuchepuka au akajua kabisa kuwa unachepuka. Kwa wanakwake wakorofi watakusakama na kukufanyia ukorofi wa tit for tat. Ila kwa wanawake wengine anaweza asitafute mchepuko pembeni kama kukulipizia kisasi la akakosa hamu ya kuwa na wewe. Yaani anakuwa anaishi na wewe kama haupo vile.
Najua wengine mtasema wanawake msiishi kwa hisia zitawaumiza, ila ni rahisi sana kuhisi kuw huyu mtu anaichezea rafu kwa tabia anazozionesha mfano, mtu kurudi usiku ananukia marashi ya kike, shati lina alama za lipstic au make up, akirudi usiku simu anaizima na kuiweka kwenye chaji kila siku wakati haikuwa utaratibu wake, anatoa sauti mlio wa simu yake ikiita au msg ikiingia husikii, simu ikiita anaweza itazama asipokee na kusema aah wasumbufu hao. Au akipokea anaaza na kujibalaguza, hapo nyumbani hamjambo, mama hajamboa a kinachoongelewa hakieleweki ili yule wa upande wa pili anajua kuwa hapo mazingira si mazuri kwa kuongea hivyo atakata simu. n.k. n.k. huu uzoefu nimeupata kwa kaka zangu hivyo ...... ndo hivyo!!

Ila wale baadhi ya wanaume wanaojitambua na kujifahamu atafanya uchepukaji wake weeh wala hautakaa uje kuhisi wala kujua kama anachepuka na hapo maisha yatasonga barabara na utapata ushirikiano mia ya mia kutoka kwa mwanamke.
ole mtoa mada cha kufanya tafuta kitu kinachokufanya kuwa na furaha na ukifanye hadi pale hisia zako zikirudi.

Kasie.
 
Kwa hiyo umejiona mjaaaanja kuja kunishtakia humu, ulidhani sitojua ee? Yako mi siyasemi humu, ila utaelewa tu kwa nin niliamua kuchepuka
We jishaue 2 ,iv ww kwa uzur gan hasa kujifanya ww ndie [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
ulihisi kwa nini jamani umejitengenezea hofu mwenyewe sasa inakutafuna maana ya kukosa nae hamu utamsababisha hata kama hana michepuko achepuke mchangamkie mumeo mpe mapenzi teeeele

mpetipeti hata mchepuko atausahau lakini kwa hisia tu unampeleka rasmi kwa michepuko
Safi sana kwa ushauri, niseme tu kwamba umelenga penyewe! Hizi hisia kwa kweli jamani zitatufikisha mahali ambapo sipo kabisaa. Acheni hizo maana na wewe utaanza kufikiria kimchepuko matokeo yake mtaukaribisha ukimwi kwa mikono miwili! Dada kumbuka mna watoto hivyo mwisho wa siku waathirika wakubwa watakuwa hao malaika. Pole
 
mi nshaachaga hizo! we assume anachat na marafiki zake akilala nje assume kaugua gafla, simu yake achana nayo omba Mungu atumie kinga tuuu na kubwa zaidi atunze familia asikutegemee kabisa! usife pressure maana ukifa leo kesho michepuko ina mfariji acha ujinga
 
Usipokuwa makini very soon na wewe utaanza kuchepuka. Ni mbaya sana kumuhisi mwenzako maana hata akichelewa nyumbani kwa sababu ya kawaida wewe hutataka kumuelewa kwamaana ushamuhisi
Fanya kumuita umuambie unaweza ukaokoa jahazi maana; 1> Kama anachepuka kweli atakuwa makini maana anajua ushamuhisi
2> Kama hachepuki atakupa maelezo ambayo kwa namna moja yatakufanya utoke kwenye mawazo ya kumhisi vibaya.
Nakutakieni maisha mema, Mungu anachukia kuachana na ndoa iheshimiwe na watu wote
Yani uukijua mume/mke wako anacheat inaondoa Kabisa hisia nae.
Y
 
Ni hatar sana, kufanya maamuz, au kuishi kwa hisia, maamuz bora yanatokana na relevant and reliable information.
 
Hizo hisia zina shida zake. Bora ungesema umemfuma akiwa kitandani anabungunyua chepuko hapo sawa. Achana na hizo, kaa naye zungumza naye mfike mwafaka. Mahusiano siku hizi ni tabu sana, ukiona inazingua ni bora kila mtu alale mbele
 
We endelea kuhisi na endelea kupunguza hisia Naye ndo atakapotafuta mchepuko wa kweli
 
Kumbuka wanaume 99% wanachepuka. Hata hivyo mlaumu kukufanya ujue, maana wengine wana mpaka watoto nje ya ndoa, ila wake zao hawajui
 
wanaume hawajuagi tuu, ni mbaya sana kwa mwanaume kufanya kuchepuka hadi mke au mpenzi wako akahisi au akaona dalili za mwanaume kuchepuka au akajua kabisa kuwa unachepuka. Kwa wanakwake wakorofi watakusakama na kukufanyia ukorofi wa tit for tat. Ila kwa wanawake wengine anaweza asitafute mchepuko pembeni kama kukulipizia kisasi la akakosa hamu ya kuwa na wewe. Yaani anakuwa anaishi na wewe kama haupo vile.
Najua wengine mtasema wanawake msiishi kwa hisia zitawaumiza, ila ni rahisi sana kuhisi kuw huyu mtu anaichezea rafu kwa tabia anazozionesha mfano, mtu kurudi usiku ananukia marashi ya kike, shati lina alama za lipstic au make up, akirudi usiku simu anaizima na kuiweka kwenye chaji kila siku wakati haikuwa utaratibu wake, anatoa sauti mlio wa simu yake ikiita au msg ikiingia husikii, simu ikiita anaweza itazama asipokee na kusema aah wasumbufu hao. Au akipokea anaaza na kujibalaguza, hapo nyumbani hamjambo, mama hajamboa a kinachoongelewa hakieleweki ili yule wa upande wa pili anajua kuwa hapo mazingira si mazuri kwa kuongea hivyo atakata simu. n.k. n.k. huu uzoefu nimeupata kwa kaka zangu hivyo ...... ndo hivyo!!

Ila wale baadhi ya wanaume wanaojitambua na kujifahamu atafanya uchepukaji wake weeh wala hautakaa uje kuhisi wala kujua kama anachepuka na hapo maisha yatasonga barabara na utapata ushirikiano mia ya mia kutoka kwa mwanamke.
ole mtoa mada cha kufanya tafuta kitu kinachokufanya kuwa na furaha na ukifanye hadi pale hisia zako zikirudi.

Kasie.
Yaani wakikuelewa itawasaidia sana....
 
We jishaue 2 ,iv ww kwa uzur gan hasa kujifanya ww ndie [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Siku zote wanijua vizur huwa sijibizani na wewe

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Wewe Kasie,ukijifanya eti umepoteza hisia ya kuwa na mimi na dudu yako imepoteza network,basi hapo kwangu ndio mtelemko,naishia nyumba ndogo namimina uji wote huko,nakula huko huko,naoga huko huko halafu narudi kulala nyumbani kwangu,wewe lea watoto tu na kuangalia nyumba mpaka network irudi.

Kawaida ya mwanadamu kuzoea ila daily routine anayoifanya, kuiona ya kawaida na kuichoka. Sasa basi mfano wewe ndo ungekuwa mume wangu na mie nimepoteza hisia zangu kwako kutokana na kuhisi unachepuka baada ya kuona dalili zote.....
Ntakuacha uendelee na hiyo routine yako ya mchepuko weeeh ukija home kulala wala sikujui wala sikuulizi umetoka wapi hata ukiamua kulala hukohuko mwezi sikupigii hata simu. Mie si kuwa ntatafuta mchepuko laah bali ntakuwa busy tuu na mambo yangu mengine na majukumu ya kifamilia. Zaidi ya salamu na kukujulia hali asubuhi hutasikia sauti yangu ikikuongelesha wala kukuuliza kuhusu kitu chochote. Labda niwe mama wa nyumbani kuwa ntakuwa nakuomba hela ya matumizi na ada ua watoto ndo ntakuwa nakupigia simu. Laah kama nna pesa yangu mbuzi hutanisikia hata nikikuomba hela ya kusuka. Sana sana ntakuwa nikutaarifu tuu kuwa naenda kutembea na watoto hotel flani au bagamoyo au Zanzibar au Dubai at my cost.
Na hapo utakapogeuka kuwa mbona huyu mwanamke hatetereki labda anamwanaume mwingine.... ndo kabisaaa hata hamu ya kukukata kucha sitakuwa nayo na ukitangaza divorce wala sisubirii unlike mara mbili nakwambia karatasi ikwapi nisaini.

Yaani Kasie ni problem ku deal nae. Yuko in a way anataka heshima na mwanaume, hakomoleki hata ..... we ukimuona Kasie wa nini yeye atakuwa wa kazi gani na anakupotezea mazimaaaa.

Hii si tabia njema wala sifa ya mke na ndio maana sijaolewa hadi leo na wala sitamani kuwa mume maana nahisi ntaacha soon......

Hivyo ukifanya hivyo unavyofikiri kufanya kuhusu mchepuko wako utakuwa inajikomoa mwenyewe tuu na si kumkamua Kasie. Labda wanawake wengine mie niko hivihivi.

Kasie.
 
Back
Top Bottom