Kwa nini unaifanya hisia kuwa uhalisia.Habari wana JF,
Kiukweli nashindwa kujielewa,tangu nihisi mume wangu ana michepuko sina hisia nae kabisa. Sijui hata nifanyaje na ninaishi nae ndani.
Wadau nipeni mawazo.
Me nahisi patafunga kabisaKwakweli hata mimi nikimgundua sijui hata kam hamu ya kumgusa itakuwepo!!
Yaani nitakuwa namuona kama mume wa mtu sio wangu tena!! Mungu aepushe.Me nahisi patafunga kabisa
AmenYaani nitakuwa namuona kama mume wa mtu sio wangu tena!! Mungu aepushe.
Wapi hapoMe nahisi patafunga kabisa
Hapo hapoWapi hapo
Sijui kapotelea wap na gentamycineJamani nimemmisi masai dada
Ukimchuguza bata utashindwa kumlaMchunguze kwanza
Acha kuishi kwa hisia. Mumeo akiwa na hisia hivyo talaka ndio itakufuata. Acha hiyo tabia. Mkute anakula mchepuko ndio ufikie hayo mahisia yako. Kumbuka mwanaume ni mwanaume tu mwisho wa siku upande mmoja ambao unaujua ndio utaumia na kunyooshewa vidole na jamii. Umeshau kwa shida na raha.Habari wana JF,
Kiukweli nashindwa kujielewa,tangu nihisi mume wangu ana michepuko sina hisia nae kabisa. Sijui hata nifanyaje na ninaishi nae ndani.
Wadau nipeni mawazo.