Tangu nihisi mume wangu ana michepuko sina hisia nae

Tangu nihisi mume wangu ana michepuko sina hisia nae

Habari wana JF, naamini mpo wazima wote,

Jamani achilia mbali mada zote nilizopost hapa JF ila ni hali halisi ya maisha.

Mbali ya yote nampenda sana mume wangu tatizo ni imani na hisia nifanyaje kurudisha mapenzi yale kama zamani yani tuishi kwa furaha?
 
Wacha mchepuko kwanza na uokoke Mungu akusamehe makosa yako..nakuhakikishia mapenzi yenu yatakua mapya nà furaha tele.
 
weka details..mada inaonekana nzuri ila maelezo hayajitoshelezi.

jibu fupi na la kuanzia...AGIZA WATAALAMU TOKA RWANDA.....ongeza details nami niongeze jibu.
 
habar wana jf, naamin mpo wazma wote

Jaman achilia mbal mada zote nilizopost hapa jf
ila ni hal halic ya maisha

Mbali ya yote nampenda sana mume wangu

Tatizo ni iman na hisia
nifanyaje ? Kurudisha mapenz yale kama zaman
yan 2ish kwa furaha !!

Kabla wanajamvi hawajakupa ushauri tuwasaidie kuwasogezea karibu threads zako ili wanapokupa ushauri wajue nini chanzo.
Tangu nihisi mume wangu ana michepuko sina hisia nae

Msaada wa mawazo, shemeji kaniachia mtoto wa miezi 10

Nimetokea kumpenda sana shemeji yangu

Ushauri wa haraka: Mume wangu ana michepuko na hana hamu na mimi akirudi kutoka safarini
 
Back
Top Bottom