Tangu nihisi mume wangu ana michepuko sina hisia nae

Tangu nihisi mume wangu ana michepuko sina hisia nae

Na wewe hisia za kuhisi mumeo anachepuka ndo zikoje sasa, mbona usihisi anakupenda zaidi
 
ANGALIA SANA,OMBA MUNGU,UTAMUACHA UYO MWANUME UTAENDA KWA MWINGINE NDIO UTAZIMIA.KILA.MWANAUME SASAHV ANA WANAWAKE ZAIDI YA MMOJA
 
kaaah!!ndo hilo tu!au mchepuko ndugu yako wa kuzaliwa nae?
we kuhisi tu!huna hisia nae...!!je ungefumania kabisa kwa bed!!s ungemkata uume!mumeo pambana we!!
 
Kuhisi!?? Unamhisi!! It means hujathibitisha ss kwann umuadhibu mumeo kwa hisia mbaya ulizonazo...tulia fanya uchunguzi thibitisha then maamuzi yako yatategemea na findings zako..
 
ACHA UJINGA WEWEEE,PIGA SHOW NAE WW NDIO WAKO UYO...UTAACHA HISIA NAE UTASHINDWA MPA KAMA YA ZAMANI AKIONA MAMBO YAMEBADILIKA ANAPIGA SHOW ZA NJE TU MATATIZO YANAONGEZEKA
 
Michepuko ni hatari sana, na ndio inaharibu nyumba nyingi..... hivi mtu una mpenzi wako au mume wako/mke wako bado unahangaika na michepuko ya nini kama sio kujitakia mabalaa
 
KWA HIYO UMEHISI TUU...HAYA PUNGUZAHISIA ILI AENDE KWA WENGINE WENYE HISIA KWAKE
 
Inaweza ikawa hasira!!! Na usipoangalia itazaa chuki. Ni kawaida, amekusaliti!
 
umehisi tuuuu.....kweli unahisi unapoteza hisia kwa mmeo sbb ya kuhisi tuuuuu......endelea kuhisi tuuu......ukimpakulia hakijaiva,,, ataenda kumtafuta wa kukiivisha....
 
Back
Top Bottom