Tangu nihisi mume wangu ana michepuko sina hisia nae

Tangu nihisi mume wangu ana michepuko sina hisia nae

Pole,
Lakini pia karibu kwenye Dunia ya michepuko, unaweza kuchepuka na ww ili naye hasiwe na hisia juu yako.
 
Kama Huna Hisia Maana Yake Anakubaka, Na Kwa Taarifa Yako Ukibaka Basi Ww Mbakaji Ndio Unapata Sensational Feeling Zaidi Kuliko Ww Mbakwaji, So Endelea Hivyohivyo
 
Habari wana JF,

Kiukweli nashindwa kujielewa,tangu nihisi mume wangu ana michepuko sina hisia nae kabisa. Sijui hata nifanyaje na ninaishi nae ndani.

Wadau nipeni mawazo.
Si unachepuka na mdogo ake?
 
ImageUploadedByJamiiForums1467370474.074348.jpg
 
Even us we cheat[emoji23][emoji23][emoji23] ni basi tu ila hakuna kitu siwez kama kumpekua mwenza wangu
Aiseee....ila nyie mki cheat inaumaaa saana. Pls stop that
 
Habari wana JF,

Kiukweli nashindwa kujielewa,tangu nihisi mume wangu ana michepuko sina hisia nae kabisa. Sijui hata nifanyaje na ninaishi nae ndani.

Wadau nipeni mawazo.
Acha kuishi kwa hisia aiseeee, utaishia kupata presha ya bure
 
Hizo hisia zitakukost, bora umfumanie mtu kuliko kumhisi navyotype hapa mi ni victim wa kuhisiwa kisa niliweka picha ya binamu yangu ambae hakuwahi kumfahamu kwenye whatsapp, ambaye niliosoma nae primary ila now yupo MUHAS tumeunganishwa kwenye group la classmates wa primary.

Amehoji nikampa maelezo ila hakutaka kuridhika zaidi akajitia kususa! Hio hali imenifedhehesha sana nkaamua kula kobisi tu.
 
Back
Top Bottom