Tangu nihisi mume wangu ana michepuko sina hisia nae

Tangu nihisi mume wangu ana michepuko sina hisia nae

Ni pepo 2 ila cna mpango huo
Yeah

Speak to your hubby pls....
Forgive him..... Elewa kwamba kukosa hisia huenda ikamuongezea kuwa mchepukaji zaidi....
Mpende na muenyeshe upendo just like the time mlipokuwa mnachumbiana
 
Habari wana JF,

Kiukweli nashindwa kujielewa,tangu nihisi mume wangu ana michepuko sina hisia nae kabisa. Sijui hata nifanyaje na ninaishi nae ndani.

Wadau nipeni mawazo.
Wewe juzujuzi si ulisema unahisia na mdogo wa mumeo?? Au ndo unatafuta visababu vya kuchepuka!!!
 
Habari wana JF,

Kiukweli nashindwa kujielewa,tangu nihisi mume wangu ana michepuko sina hisia nae kabisa. Sijui hata nifanyaje na ninaishi nae ndani.

Wadau nipeni mawazo.
ndoa yenu ni ya mda gani
umejiuliza kwanii anafanya hivo
 
Yaani hapo umehisi tu hisia zimepotea sasa ukimfuma Live utaenda kuweka bandiko kwenye magazeti ya shigongo. Hayo ndio madhara ya kuolewa na mwanaume kisa anakazi nzuri. By the way kwani yeye alikuta kwako njia haijapitiwa?
Kumkimbia mwanaume eti kisa amechepuka ni sawa na kuhama nchi kisa mvua inanyesha, inanyesha popote. Angalia kama anatimiza majukumu yake yote kwako
 
Yeye lazima alikuwa nayo kitendo cha wewe kutokuwa nayo kimekuondolea sifa ya kukuamini na kuheshimu hisia zako mwache aponde raha atarudi tu MAANA KAOA MKE ASITYE WAKE HATA AENDE NJE NI KUJIUMIZA TU
NAWE MPET MPETI MWENZIO ASITOKE NJE JAPO ULILIWA IONEKANE HUKUPENDA

LAKINI KUJIWEKA MATAWI HUKU SHAMBA LAKO LILILIMWA UTAMKOSA MUMEO JIFUNZENI KUJISHUSHA
WANAUME TUPO WACHACHE UKIZINGUA MWENZIO ANAINGIA



BILA BIKRA HUNA SOKO

kwanza kabisa punguza jazba manake unaongea as if unataka kutokelezea kwenye screen, pili mimi ni mchangiaji tu sio nilioleta mada, na tatu unasema lazma alikuwa bikira, una uhakika gani?
 
Kama una uhakika na wewe tafuta mchepuko wako ngoma drow
 
Kaa na mumeo muyazungumze na kuyamaliza/muyamalize
 
Yaani hapo umehisi tu hisia zimepotea sasa ukimfuma Live utaenda kuweka bandiko kwenye magazeti ya shigongo. Hayo ndio madhara ya kuolewa na mwanaume kisa anakazi nzuri. By the way kwani yeye alikuta kwako njia haijapitiwa?
Kumkimbia mwanaume eti kisa amechepuka ni sawa na kuhama nchi kisa mvua inanyesha, inanyesha popote. Angalia kama anatimiza majukumu yake yote kwako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Daaaa kumegewa inauma zaid ya chochote mpende tu atabadilika tu
 
Yaani kama kuna mtu wa kuhurumiwa ni wewe. Kwa nini ukaacha kumwamini mwenzio?? Hivi uliwahi kuwaza kuwa, hata mkiwa humo ndani ya nyumba aweza kuwa ana ku-cheat wewe unapokuwa upo jikoni?
Waswahili wanasema; Kimtokacho mtu ni kile kilicho mjaa. Wewe ndiye ulianza kutaka kuiba ndo maana unakuja hapa jf kutaka kuhalalisha mzoga kuwa hallal. Acha kumwibia mwenzako kimaarifa.
Ukute mwenzio wala hana hayo mawazo potofu halaf unamzulia. Pole zako bibie. Kama ni uasherati unaanza, anza tu ila ujue kuna ukimwi.
 
Back
Top Bottom