TANGAZO ZITO: Mwenyekiti Baba V nimerudi

TANGAZO ZITO: Mwenyekiti Baba V nimerudi

karibu sana Baba V jukwaani...kwa taarifa yako mimba alonayo Madame B mie ndio muhusika namba moja...hao wengine wote ni washika pembe na wengine wasafisha banda....huyo Arushaone ni mkata majani tu...
Ndoa yangu na Mamndenyi inategemea na maelezo ya nini amekuwa anafanya na Bishanga pindi nasafiri Judgement nae anamkuwadia Mamndenyi kwa anko wake ndio maana nikaamua kusaka dogo dogo wapyaaaaa....kuna mmoja kapatikana na atatambulishwa rasmi siku ya white party...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Hivi nyie wana mbona mnapenda kunichanganya kichwa mwenyekiti wenu..?? khaaa, mnataka nizeeke mara ya pili!??
 
Last edited by a moderator:
Me bado sio mwenyeji sana sio mbaya tukilisongesha pamoja.

Karibu sana Vidar , mimi ndo mwenyekiti wa ndoa na mahusiano hapa chit chat, hebu sema wewe ni Me au Ke..!? maana haya majina yenu haya duh!
 
Last edited by a moderator:
Hebu niangalie usoni!
Next week nafunga ndoa na Madame B,xo ntakuhitaji uwe best man wangu.
No cavity

Hadi wanaume wenzio wakutilie mimba ndo ukumbuke kuoa!?? kwanza wa kuolewa nani... Madame B.!??? thubutu yako. labda avae shela la jeans..!!!
 
Last edited by a moderator:
ningeshangaa sana kama kwenye hiyo list ningekuwa sipo dah,private nakutamani sana ila mkeo dah noma bana alinipa ma shushu huyo nikalala hoi, kwanini tusiende pale cc pub ya erick52 pale pametulia sana nadhani tutayamaliza salama si ndio eeeh?

Si ndio maana nimesema PRIVATE..!? Najua madhara ya vitu vizito vyenye ncha kali... kam to my side..
 
Last edited by a moderator:
Isije ikawa ulienda kumfunga Slave, mie nilienda kuomba server za jf zisiwe na uwezo wa kunipa Ban

nitahitaji maombi maalum ili huyo pepo mbaya asije mvaa my Evelyn Salt naogopa kuwa zezeta mbele ya my waifu wangu. Cheyamen Baba V naomba uunde tume ichunguze hili jambo aisee chezea lukomolo eikei ei shuntama au genda ugaruke pale singida waita nkulu kulu. Ikibainika hivyo nitatoa talaka siku ya ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Naomba Mungu wote wawe baba. Mmoja dna yake iwe masikio, mwingine pua, mwingine brains, mwingine shape aka makalio, mwingine maumbile. Kama vipi tupige kura dada?
Kwa nini waume wenza Arushaone, Chimbuvu, tedo, Chilli na Chibolo mnaing'ang'ania hii mimba?
Mnaijua ya nani?
Haya tusubiri after 2 weeks jibu litapatikana.
Ila sitaki mumgawanye mwanangu,right?
Haya.
 
Last edited by a moderator:
This is the day that the Lord has made we will rejoice and be glad in it.
 
karibu sana Baba V jukwaani...kwa taarifa yako mimba alonayo Madame B mie ndio muhusika namba moja...hao wengine wote ni washika pembe na wengine wasafisha banda....huyo Arushaone ni mkata majani tu...
Ndoa yangu na Mamndenyi inategemea na maelezo ya nini amekuwa anafanya na Bishanga pindi nasafiri Judgement nae anamkuwadia Mamndenyi kwa anko wake ndio maana nikaamua kusaka dogo dogo wapyaaaaa....kuna mmoja kapatikana na atatambulishwa rasmi siku ya white party...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
we Vin Diesel tatizo lako kuvamia misitu kwa kiwembe.
Btw sweetlady hajambo?
 
Last edited by a moderator:
nitahitaji maombi maalum ili huyo pepo mbaya asije mvaa my Evelyn Salt naogopa kuwa zezeta mbele ya my waifu wangu. Cheyamen Baba V naomba uunde tume ichunguze hili jambo aisee chezea lukomolo eikei ei shuntama au genda ugaruke pale singida waita nkulu kulu. Ikibainika hivyo nitatoa talaka siku ya ndoa.

Ndo maana ya ndoa kama ulikuwa hujui, wewe unadhani kwa nini Madame B anaweza kuwapanga kama nyanya afu bado wanamlilia!??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom