Alikuwa na mbwe mbwe nyingi sana kumbe mti wa mpapai...
karibu sana Baba V jukwaani...kwa taarifa yako mimba alonayo Madame B mie ndio muhusika namba moja...hao wengine wote ni washika pembe na wengine wasafisha banda....huyo Arushaone ni mkata majani tu...
Ndoa yangu na Mamndenyi inategemea na maelezo ya nini amekuwa anafanya na Bishanga pindi nasafiri Judgement nae anamkuwadia Mamndenyi kwa anko wake ndio maana nikaamua kusaka dogo dogo wapyaaaaa....kuna mmoja kapatikana na atatambulishwa rasmi siku ya white party...
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Naomba Mungu wote wawe baba. Mmoja dna yake iwe masikio, mwingine pua, mwingine brains, mwingine shape aka makalio, mwingine maumbile. Kama vipi tupige kura dada?
Una uhakika na unacho kinena Baba V?
Ewew kizazi cha nyoka
nitahitaji maombi maalum ili huyo pepo mbaya asije mvaa my Evelyn Salt naogopa kuwa zezeta mbele ya my waifu wangu. Cheyamen Baba V naomba uunde tume ichunguze hili jambo aisee chezea lukomolo eikei ei shuntama au genda ugaruke pale singida waita nkulu kulu. Ikibainika hivyo nitatoa talaka siku ya ndoa.
Umemuomba Madame B nyama ipi?
Karibu Baba V ntammiss Dr.zero
Karibu nyuma Baba V......