TANGAZO ZITO: Mwenyekiti Baba V nimerudi

TANGAZO ZITO: Mwenyekiti Baba V nimerudi

Za saizi shoga!!!!!
mwambie shemeji aache kuchungulia mambo ya majirani.....

Za sahz nazijua mwenyewe.
Haya nambie cha kumfata fata Mr. wangu kitu gani?
Unataka kumwambia nini?
Sema hadharani kabla ushoga haujafa.
 
Za sahz nazijua mwenyewe.
Haya nambie cha kumfata fata Mr. wangu kitu gani?
Unataka kumwambia nini?
Sema hadharani kabla ushoga haujafa.

Umesema vizuri kumuita Mr. wako, ungethubutu kumuita mumeo ungenijua
 
Za sahz nazijua mwenyewe.
Haya nambie cha kumfata fata Mr. wangu kitu gani?
Unataka kumwambia nini?
Sema hadharani kabla ushoga haujafa.

Aku!!!! nipo zangu naongea na aliekuwaga hawala angu kabla dunia haijanituliza....
nashangaa shemeji kanikonyeza!!!!
muulize yeye alikuwa anataka kunambia nini
 
Back
Top Bottom