Tangazo la kazi, Manispaa ya Ubungo

Tangazo la kazi, Manispaa ya Ubungo

Kwa mliokwisha fanya application sorry, niulize...hizi barua zinapita sehem 3 ? Means kwa mkurugenzi, weo na veo au inakuaje.
Moja, unachukua barua ya utambulisho kutoka mtaa unaoishi kwa mjumbe,
Baada ya hapo unachukua barua hiyo unaipeleka serikali za mtaa.

Ukifika pale, Ile ya mjumbe wanaichukua wanakupa yakwao... Ambayo utaipeleka kwa mtendaji.

Ukifika kwa mtendaji, anachukua barua ya serikali za mtaa alafu anaweka saini yake Ile kupitia kwa mtendaji.

Baaada ya hapo, unaipeleka kwa mkurugenzi manispaa.
 
Duh..Asante nilidhani naandika mm
 
Tusemeni tu ukweli!!
Hii kama kuna mtu yuko Manispaa atupe tu mchongo tutamlipa, mana bongo bila mchongo hutoboi
Mmekubali kiaina sio! Leteni hizo bahasha za Ef 30 niwapenyeze sasa.
 
Hakuna Intavuu braza.
kulikua na link za usajili wa online kwa waliochaguliwa.

kwahiyo kilichobaki majina yabandikwe halmashauri watu wakasome waende semina waanze kazi
Link wanakitumia wapi kwny sms ya kawaida? Whatapp? Au kwny email
 
Back
Top Bottom