Tangazo la kazi, Manispaa ya Ubungo

Tangazo la kazi, Manispaa ya Ubungo

ukishaandika unatuma kupitia posta au unapeleka ofisi za manispaa?
 
Yametoka manispaa 2 tu, ubungo na temeke.
Mkuu, Hilo Ni zoezi la kitaifa na linaanza tarehe 1/3.

Hakuna Halmashauri ambayo haishughulikii Hilo suala.

Mimi siko Dar lakini huku niliko pia Hilo zoezi lipo na watu wanatuma maombi.

Kuna maombi ya aina mbili.

Hao wa taarifa za Anwani za makazi pamoja na wale mafundi wanaoweza kuweka vibao vya Mitaa.
 
.
kinondoni-2022-768x985.jpg
 
Tusemeni tu ukweli!!
Hii kama kuna mtu yuko Manispaa atupe tu mchongo tutamlipa, mana bongo bila mchongo hutoboi
Mkuu wewe tuma tu. Kama una connection itumie ila usiache kutuma kisa huna mtu wa kukufanyia mchongo
 
Mkuu wewe tuma tu. Kama una connection itumie ila usiache kutuma kisa huna mtu wa kukufanyia mchongo
Tumetuma leo ila kwa hali ile ndugu yangu mi siwafichi watu bila.mchongo chance ni 20% ..
yani kwanzia pale barabarani mpaka unaingia kwa haraka haraka hata wakiita watu 700 wangetimia.. na hio ni kwa mda huo ambao tumepita na gari dk 1 tu
je, kutwa nzima? je kesho?
 
Hiyohiyo asilimia 20 inatosha
 
Back
Top Bottom