Tangazo la kazi, Manispaa ya Ubungo

Tangazo la kazi, Manispaa ya Ubungo

Kazi za hivyo huwa rahisi kupata kama una ndugu,rafiki,refa kati ya manispaa au ccm,ila ccm ndio mchawi aisee! Nilipata nafasi kama hiyo ila ilikuwa ya karani wa sensa mwaka 2012 kuna mzee alikuwa kiongozi wa ccm ndio aliniunganishia nilikuwa sina elimu kabisa ila kuna watu walikuwa wamehitimu elimu ya chuo kikuu lakini walikosa,tulienda kufanya kazi na walimu,manesi {wazee}na watoto wengine walikuwa kidato cha 3,wazee wengine hata kuandika hawawezi ila walipata nafasi....Kama una mtu unamfahamu akipita mbele hizo hela unakula mapema sana. Nasubiria huku mkoani nilipo ikitokea naomba kupitia kivuli cha chama tawala tena ila siipendi ccm,lakini waliovaa kijani mioyoni wana tuinua!!
 
Msiogope hata kama kuna kitu unaona hukijui katika majukumu ya kazi huwa wanaweka semina ya kuelekezana kile ambacho hukielewi kama una kichwa kizito wanakuelekeza.
 
ni kweli
Sisi mtendaji wa kata yetu kabaki na photocopy ya barua zetu wote
Okay, ila cc mtendaji wetu hajabaki na chochote na amesema hawezi kutupambania kwasbabu wenye power ni huko kwa mkurugenzi kwahyo tusije kumlaumu
 
Temeke ni siku ngapi? Na malipo yakoje? Kwa anaye jua please
 
Vijana ambao hatuna ajira shughuli na vigezo tunavyo tupambanie kinachonisikisha ni kusikia kuna kundi la watu ambao wao wameajiriwa hasa walimu kuzitaka hizi Nafasi ..Walimu ni waajiriwa waacheni vijana wenu wajipatie kipato kupitia hizi nafasi chache na shughuli ya muda ..mnataka vijana wafanye kazi gani
Kweli kabisa kuna watu wanakazi zao ila wanataka kupiga huku na huku , mimi nimewashuduia walimu ninao wajua wawili sasa najiuliza mdau wa kufundisha darasani watapataje ?
 
Huna unalolijua wewe na inaonekana hujaomba hizi kazi kwa hiyo kaa kimya ...

Unajua baada ya kutoka kwa afisa mtendaji kata unatoa copy ya barua yako ,yeye anabaki na photocopy na wewe unabaki na og unaambatanisha na vyet vyako ndio unapeleka kwa mkurugenz ? Au hujui huo mchakato .....Mimi naongea kwa experience wewe unaongea kwa kujifanya unajua kumbe hujui ....
Hamna anayebaki na copy,ile barua inaanzia serikali za mitaa,ikishasainiwa inakwenda kusainiwa ofisi ya kata then inawasilishwa Kwa Mkurugenzi wa manispaa.Hakuna ofisi yoyote hapo awali inayobaki na copy.
 
Nishasema Mimi naongea kwa experience.....waombaji wote tumeacha copy za barua kwa afisa mtendaji kata....

Na za chini chini kupitia kwa mjumbe wangu hapa kitaa kashaanza kulist na kupendekeza watu wa mtaa wake ....

Wewe endelea kukaza kichwa na kufikiki hapa Tanzania Kuna haki ...

Hii nchi Haina haki hata kidogo ,Kuna unyama mwingi na mjuano ,haki inaongelewa kwenye vyombo vya habari na kwenye makaratasi tu ....ukija kwenye vitendo ni unyama na kujuana tu ...
 
Tatizo watu wabishi sana..
akasome kwanza majibu ya Ubungo aone watu wametoka kimtaa.
mtaa flani watu fulani kama hujuani na mtendaji wa kata imekula kwako
 
Msaada walio tumiwa link ubungo naona yangu haifunguki afu mwisho sa 9 Wadau
 
Back
Top Bottom