heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,033
- 13,350
Sms inakuja kwa namba maalum 15002 sa unacheat vipi apoTatizo hakuna hata mmoja nimjuaye ambae katumiwa message...
Sms inakuja kwa namba maalum 15002 sa unacheat vipi apoTatizo hakuna hata mmoja nimjuaye ambae katumiwa message...
Cc Sipora LianaMkurugenzi tanga jiji sijaelewa kwanini hzi ajira hazikutangazwa
We barua ya kutambulishwa ujaiacha kwa mtendaji wako ?Sio office zote mimi nimeomba morogoro utaratibu wa kutoa copy hamna wanagonga tu sign alafu unapeleka wilayani.
duuuh kulikuwa hamna usaili auUbungo kesho wanaanza mafunzoView attachment 2131265
Jaman m naomba mfano wa kichwa cha barua kwa alieandikaUsaili wao upoje jamani maswali gani huulizwa