Tangazo la kazi, Manispaa ya Ubungo

Tangazo la kazi, Manispaa ya Ubungo

Huna unalolijua wewe na inaonekana hujaomba hizi kazi kwa hiyo kaa kimya ...

Unajua baada ya kutoka kwa afisa mtendaji kata unatoa copy ya barua yako ,yeye anabaki na photocopy na wewe unabaki na og unaambatanisha na vyet vyako ndio unapeleka kwa mkurugenz ? Au hujui huo mchakato .....Mimi naongea kwa experience wewe unaongea kwa kujifanya unajua kumbe hujui ....

Sio office zote mimi nimeomba morogoro utaratibu wa kutoa copy hamna wanagonga tu sign alafu unapeleka wilayani.
 
Kinondoni tayari jamani. Mkacheki majina yenu.
 
Ubungo kesho wanaanza mafunzo
IMG-20220225-WA0030.jpg
 
Back
Top Bottom