Tangazo la kazi, Manispaa ya Ubungo

Tangazo la kazi, Manispaa ya Ubungo

Mambo yalikuwa ivyo Ubungo,ila hapo ktk folen kuna wengine walitoka kigambon, wengi e Temeke, wengine Kino yaaan wakipata huku na huku sijui watajigawa vipi

IMG_20220215_133346.jpg


IMG_20220215_133359.jpg
 
Naomba kuuliza hili zoezi la sensa linafanyika kila mkoa na mwezi wake au likianza zoezi mwezi fulani ni nchi nzima
 
amna mikoa mingine bado boss
Mkuu mikoa inatofautiana muda wakufanya hili zoezi la sensa nikimaanisha mwez wa kufanya sensa mana hizi nafasi huku tanga bado hazikutangazwa hadi dk hii au wameshaleta watu wao
 
Mkuu, Hilo Ni zoezi la kitaifa na linaanza tarehe 1/3.

Hakuna Halmashauri ambayo haishughulikii Hilo suala.

Mimi siko Dar lakini huku niliko pia Hilo zoezi lipo na watu wanatuma maombi.

Kuna maombi ya aina mbili.

Hao wa taarifa za Anwani za makazi pamoja na wale mafundi wanaoweza kuweka vibao vya Mitaa.
Mkuu unataarifa kuhusu tanga maana naona mambo ni kimya hadi mida hii .
 
Mkuu mikoa inatofautiana muda wakufanya hili zoezi la sensa nikimaanisha mwez wa kufanya sensa mana hizi nafasi huku tanga bado hazikutangazwa hadi dk hii au wameshaleta watu wao
Boss hizo nafasi zilizotangazwa ni nafasi za kazi za muda kwa ajili ya kuandikisha anuani za makazi na postikodi.

Kabla ya sensa kutakua na zoezi la kuipa /kupanga mitaa kwa majina na uandikishaji wa anuani za makazi na postikodi kwa wakazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tayari nimefika kwa mtendaji kata kaniambia bado sasa hofu yangu mbna halmashauri nyengine tayari na diedline ni hizi 18 had 20 na zoezi linafanyika mwezi wa 3 alafu hakuna jipya hadi sasa
Isijekuwa danganya Toto
baadhi ya mikoa bado awajatangaza nmefatilia ata morogoro mambo bado
 
Back
Top Bottom