Tangazo la kazi, Manispaa ya Ubungo

Tangazo la kazi, Manispaa ya Ubungo

Bagamoyo

Screenshot_20220217-141051.jpg
 
Hizi kazi hakikisha unajuana na mwenyekiti na mtendaji kata wa maeneo yako husika ...hawa wanabaki na kopi za waombaji na ndio wanapeleka majina kwa mkuregenzi kule ....mkuregenzi Hana muda wa kuchukua form zako kuaangalia barua zenu ....tuma barua lakin komaa na mwenyekiti na mtendaji wa kata yako ...pambana kaa nae karibu ongea nae ikiwezekana mnunulie hata soda au k vant jina lako litatumwa kwa mkurugenz I na utazingatiwa mapema Sana ...

Hii nchi ni ngumu siku hizi inaajiri kwa mjuano na connection zaidi na ndio nature , hakuna wa kutoa huu mfumo wa kuajiri kwa mjuano ...kazi kwenu wanandugu ....
 
Unachekesha sana dogo, aliyekwambia mwenyekiti na mtendaji anabaki na kopi ni nani?? Usiongee vitu usivyojua. Usikute unaongea tu hapa wakati hata kuomba hujaomba
 
Huna unalolijua wewe na inaonekana hujaomba hizi kazi kwa hiyo kaa kimya ...

Unajua baada ya kutoka kwa afisa mtendaji kata unatoa copy ya barua yako ,yeye anabaki na photocopy na wewe unabaki na og unaambatanisha na vyet vyako ndio unapeleka kwa mkurugenz ? Au hujui huo mchakato .....Mimi naongea kwa experience wewe unaongea kwa kujifanya unajua kumbe hujui ....
 
Ni utaratibu wa baadhi ya ofisi ,nakubaliana na wewe .ila si zote wanafanya hivyo.
 
Okay asante nimeelewa, ILa hawa madogo wanaomba wange waangalia kwa jicho la pili, kusudi baada ya kufanya izo kazi KWA mudA na kurudi mtaani tena kusota bora Wange wapa ajira, tuu
Khaa eti madogo, kwa hiyo sie wazee tulioomba unatuchukuliaje
 
Back
Top Bottom