Political stability
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 906
- 1,396
Wakuu , hii ajira ni ya kweli? au ubabaishaji?
30k kwa siku ni hela aiseeVijana wajitokeze kupata ajira ya muda.Wapate uzoefu
Nipo hapa nafuatilia mkuu.. Nakujibu muda si mrefuis it real or fake? what i demand to know
poa poaNipo hapa nafuatilia mkuu.. Nakujibu muda si mrefu
wewe lalaWatu mna roho mbaya.Yaani deadline keshokutwa Tangazo linatumwa Leo (Just kidding )
Simu ya kutunyongea hahahahahLa kitapeli si wangeweka email au simu ya kuwanyongea?
Naamini ni la ukweli.
Msiogope tumeni, hamfungwi
Hz kazi zinatolewa kimchongo mchongo sana,,, imebidi nizidanload hz form kabla alopost hajafuta mana anaonekana yuko high sanaWatu mna roho mbaya.Yaani deadline keshokutwa Tangazo linatumwa Leo (Just kidding )
Hizi nafasi zinatoka halmshauri zote.Nasikia ni halmashauri zote nchi nzima ya kweli ama tuombr hapa tuu?
Mkuu naomba unitumie tangazo full kama unaloHizi nafasi zinatoka halmshauri zote. View attachment 2118735
Naomba la halmashauri ya kinondon kama unaloHizi nafasi zinatoka halmshauri zote. View attachment 2118735