Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,219
Kikundi chochote cha waasi kikinihitaji kama malipo mazuri najihunga
Haki nmecheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kikundi chochote cha waasi kikinihitaji kama malipo mazuri najihunga
Haiwezekani kila interview nikatwe utasema sio mtanzania ni msomaliHaki nmecheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii nchi ngumuKuna mjumbe analalamika, watu walipelekwa kwenye kata yake, Sio watu wa kata Yake.
Ni wageni kutoka mkoani [emoji2][emoji2]
Yan hata kuitwa tu intavuu ufike wakusalimie usepe haitokei inaumaga sana....Haiwezekani kila interview nikatwe utasema sio mtanzania ni msomali
Hivi majina wanabandika au namna gani?Wale wa temeke majina yameshatoka
Yapo kwenye PDF nahisi walitoa kwenye website yaoHivi majina wanabandika au namna gani?
Nikutumie?Hivi majina wanabandika au namna gani?
Nitumie ya jiji kama unayoNikutumie?
Usipende kutafuniwa!!!Nitumie ya jiji kama unayo
Sasa ulikuwa unaniuliza unitumie ili unishushue? KwendraaaUsipende kutafuniwa!!!
Usipende Kuomba samaki, omba namna ya kupata samaki(kuvua)
Nenda official website ya manispaa husika, au Instagram account ya manispaa husika.
Message sent.Sasa ulikuwa unaniuliza unitumie ili unishushue? Kwendraaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dadekiiKuna mjumbe analalamika, watu walipelekwa kwenye kata yake, Sio watu wa kata Yake.
Ni wageni kutoka mkoani [emoji2][emoji2]
Temeke tayar umeyaona mkuu?Ya Dubai na California yakitoka mnitag.
Yah,nimeyaona kwenye uzi wakoTemeke tayar umeyaona mkuu?