Edwin171
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 460
- 578
Ahsante, nilitaka kumuuliza hilo swaliPole wanakuja kukupa maelekezo!
Naomba kukuuliza ulikuwa na connection au bahati tu??
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ahsante, nilitaka kumuuliza hilo swaliPole wanakuja kukupa maelekezo!
Naomba kukuuliza ulikuwa na connection au bahati tu??
Hello, unaweza kupiga picha majna yote tuyaone tafadhaliHee
Si tumeona tu matokeoView attachment 2123638
Ninayo PDF ya majina yote walioitwa, ngoja niitume Kama nitawezaHello, unaweza kupiga picha majna yote tuyaone tafadhali
Angalia comment namba 152, nimeshatuma tayariHello, unaweza kupiga picha majna yote tuyaone tafadhali
Hii ndio TanzaniaWanadai umri usizidi miaka 35, but nimeshukudia Kuna mtu amepata ana miaka 38 na kaweka cheti Cha kuzaliwa Cha miaka huyo kwel mjini connection
Asante mkuu, nmeonaAngalia comment namba 152, nimeshatuma tayari
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
ShukranNinayo PDF ya majina yote walioitwa, ngoja niitume Kama nitaweza
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Asante aseeMajina ya walioitwa nafasi za kazi ukusanyaji wa anuani za mitaa na postikodi, halmashauri ya wilaya ya UbungoView attachment 2123829
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tuma Tena mkuu ,kwa tumia app haifunguki hii aiseeMajina ya walioitwa nafasi za kazi ukusanyaji wa anuani za mitaa na postikodi, halmashauri ya wilaya ya UbungoView attachment 2123829
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tumia browser, inafunguka mkuuTuma Tena mkuu ,kwa tumia app haifunguki hii aisee
Mkuu ukilipata la Simiyu ,bariadi naomba ufanye ku shareHizi nafasi zinatoka halmshauri zote. View attachment 2118735
Mwenye nayo ayaweke tuone .Nasikia Temeke Na kigamboni yametoka tayari majina
Umeomba wilaya gani wewe?Oyaa mbona hakuna feedback intavuu ilikuaje