HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,263
- 103,427
Ngoja nikushike mkono braza [emoji847][emoji28]Hahahah fanya kweli sasa mda ndio huu
Usikae mbali bana mrembo kama wewe unakosaje ndimaNgoja nikushike mkono braza [emoji847][emoji28]
Hata mi nashangaa Braza, nakosaje mm mdogo ako wakati braza upo kitengoUsikae mbali bana mrembo kama wewe unakosaje ndima
Usiiniite braza sasa utaaribuHata mi nashangaa Braza, nakosaje mm mdogo ako wakati braza upo kitengo
Unaniita kaka ili uninyime nnNajinyenyekeza sasa jamani
😁😁 Matumizi yajayo ya kutafuta kaziWakitunyima waturudishie hata passport size zetu tuzitumie kwa matumizi mengine.
Vipi mkuu bado haujapata ronjaa?Temeke wakitoa majibu mnitag.
Kwa Temeke bado sijapata mrejesho wowote.Vipi mkuu bado haujapata ronjaa?
Tuma tuoneTemeke na kigamboni Tayari mkeka
Nauliza tayari mkeka au bado??Tuma tuone
Nauliza tayari mkeka au bado??
Mkuu Hiyo ofisi ipo Ukraine auNgoja nikachungulie ofisini kwao nitaleta mrejesho
Hapa umemaliza kila kitu mkuu..Hizi kazi hakikisha unajuana na mwenyekiti na mtendaji kata wa maeneo yako husika ...hawa wanabaki na kopi za waombaji na ndio wanapeleka majina kwa mkuregenzi kule ....mkuregenzi Hana muda wa kuchukua form zako kuaangalia barua zenu ....tuma barua lakin komaa na mwenyekiti na mtendaji wa kata yako ...pambana kaa nae karibu ongea nae ikiwezekana mnunulie hata soda au k vant jina lako litatumwa kwa mkurugenz I na utazingatiwa mapema Sana ...
Hii nchi ni ngumu siku hizi inaajiri kwa mjuano na connection zaidi na ndio nature , hakuna wa kutoa huu mfumo wa kuajiri kwa mjuano ...kazi kwenu wanandugu ....
Naulizia na kinondoni jamaniMkuu Hiyo ofisi ipo Ukraine au
Ya temeke ipo opposite na uwanja wa taifa/uhuruMkuu Hiyo ofisi ipo Ukraine au