Abdallah M. Nassor
JF-Expert Member
- Mar 20, 2008
- 600
- 620
Tanga balaa. Nilisingwa nikalowea! 





Aksantee jemedari mkuu hayakukuti haya isipokuwa mwendaji na mtafutaji hatari ya waja leo warudi leo nafkri kuna listi ya vijiji vyao uliitoa ndio inaakisi tamaduni zaomadala mujipa loh![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
chai iliyopikwa kama pilau
Kupewa unyumba mchana kweupe mbuzi anakula majani![]()
![]()
![]()
salute sana aaanina!!!!

Aksantee jemedari mkuu hayakukuti haya isipokuwa mwendaji na mtafutaji hatari ya waja leo warudi leo nafkri kuna listi ya vijiji vyao uliitoa ndio inaakisi tamaduni zao![]()
![]()
![]()

Wengi wanalijua hawawezi kasirika tanga kabila tatu ndio zinawakilisha zaidi katika hiyo mambo mdigo,mbondei na msambaa ni hataree
Nalo neno mmh ukipanda shart ufungwe kamba usije anguka kinavyozunguushwaSasa wamakonde tukasirikie nini? Tunawaangalia tu. Mtwara raha
Kupika wanajitahidi sio kila kitu wanajua na alikuwa smart aisee mpaka watu walikuwa wanajua ni ndugu yetuWanajali sana.wanajua kumuhudumia mwanamme kama wake.n.k
Wasafi na mapenzi wanayajua.na kubembeleza pia.
Wana mengi ila haya machache.pia wanajua kupika.
ile rafudhi yao ya kulalamika mm uwa na enjoyig sana yani amekupigia cm umechelewa kupokea akianza kukulalamikia kwa kudeka na ile rafudhi yao aisee burudani sana tanga
"mie nakupigia cm weye cm yangu upokei kwa nini eti laaziz wangu wanitesa ujue eti waniweka roho juu mie"
uwaga nachekaga sana kimoyo moyo na ile rafudhi yao dah...#mwamboni#chumba geni#nyny amna mana nyny mmeubwa automatical mtulizishe sisi na ndiomana nyny mpo wengi sana na ndomana mwanaume afundishwi jinsi ya kuishi na mwanamke hana kichenipart mwanaume ila mwanamke anakichenipart kwaiyo nyny iyo ndo kazi yenu mana mmeletwa duniani ili mtupe sisi burudani tuu mtusaidie na ndomana mko wengi lkn bado amtutoshi japo kuwa mpo wengi. .Na sisi ke tuende mkoa gani jamani..maana tanga ni kwa me

Tatizo tuliletwa tuwaburudishe na nyie mtuhudumie ila sasa majukumu tunagawana so na buradani tugawane..nyny amna mana nyny mmeubwa automatical mtulizishe sisi na ndiomana nyny mpo wengi sana na ndomana mwanaume afundishwi jinsi ya kuishi na mwanamke hana kichenipart mwanaume ila mwanamke anakichenipart kwaiyo nyny iyo ndo kazi yenu mana mmeletwa duniani ili mtupe sisi burudani tuu mtusaidie na ndomana mko wengi lkn bado amtutoshi japo kuwa mpo wengi. .![]()
![]()
![]()
![]()
sawa...Tatizo tuliletwa tuwaburudishe na nyie mtuhudumie ila sasa majukumu tunagawana so na buradani tugawane..
Angalia shemeji asije akaamisha majeshi.Kupika wanajitahidi sio kila kitu wanajua na alikuwa smart aisee mpaka watu walikuwa wanajua ni ndugu yetu
.mkuu tafuta kijana yoyote wa Tanga atakujibu tuTuzi ndo nin?
Saragossa tuzi ndio nn
Alirogwa kwa kuinamishwaKweli mkuu ulikamatwa na ulirogwa mchana kweupee!