baba glory
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 292
- 213
Wacha weeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahah mbona bado yapo sana?? tuulize sie tunaekaa tanga
Wacha weeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahah mbona bado yapo sana?? tuulize sie tunaekaa tanga
Ila huyu ni mwanamke unaemwambia ivo hawezi kujua, wanawake wa bara hata wanaume walijua ni uchawi unaotumika kumbe sio ni ujanja ujanja tu kama huo, hivi kweli unarudi kwako maji ya kuoga unayatafuta mwenyewe ila kwingine unakuta tayari yashawekwa na makorokoro kibao huko kitandani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asee unadhani kesho utarudi nuumbani?Hayajakukuta mambo haya
Karibu ujioneeWacha weeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nani aliumbwa kuzoea shida,hakuna uchawi ila unajiroga mwenyewe!Ila huyu ni mwanamke unaemwambia ivo hawezi kujua, wanawake wa bara hata wanaume walijua ni uchawi unaotumika kumbe sio ni ujanja ujanja tu kama huo, hivi kweli unarudi kwako maji ya kuoga unayatafuta mwenyewe ila kwingine unakuta tayari yashawekwa na makorokoro kibao huko kitandani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asee unadhani kesho utarudi nuumbani?