chiko mkunungu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 729
- 646
Tuzi ni mwanamke kukupaaa tigo ndo maana ake iyo tuzi ni vutu, vutu ni tigo tulioishi tanga hii misemo twaijua eti......Tanga hatari sana....
Daah hiyo sio tanga niijuayoTanga kika nyumba ina mganga..vidume vinatekwa kwa ndumba vinasifia kweli...
Nakwenda kama babu mbishi vidakwa kwa chumvi nakamatia kama kazimtoa mada saiz atakuwa ni babu sana ni dingi sana...
duhhh..itakua kweli..duuh lusanga kwa wakwe zangu, nimeoa huko. kumbe ww ni shemej yangu
Ahahahaaaa mambo ya kidigo hayo utapatwa tu kama mwezi au juaHadi mate yamentoka, ngoja nende kwa mwantumu nkale aisee
sio hapa, ntakupa sure name tuuduhhh..itakua kweli..
ninong'oneze basi...dada aitwa nani na surname
huo ni utamaduni wa uko au ni janja ya mjini?Tuzi ni mwanamke kukupaaa tigo ndo maana ake iyo tuzi ni vutu, vutu ni tigo tulioishi tanga hii misemo twaijua eti......Tanga hatari sana....
ngoja wenyeji waje watakwambiahuo ni utamaduni wa uko au ni janja ya mjini?
Ukiolewa tafuta msichana wa kazi wa kitanga.utajua kwanini.Whats so special huko tanga kiasi cha kufanya mkawaacha wake zenu
Ahahahaaaa mambo ya kidigo hayo utapatwa tu kama mwezi au jua

sasa me mwenyewe mzigua, kazi itakuwa pevuOooh wazee wa hombosasa me mwenyewe mzigua, kazi itakuwa pevu
Wenyewe wadekaTeh teh teh
Tanga raha siku nikuja huko unaona mengi
Yapi hayoIla sasa hivi yamepungua sna hayo mambo kule
Kwabutu Lusanga aisee!!kwabutu...ukoo wetu uko pale
wabondei pyua
Hahahahah nina mpango wa kwenda huko nadhani mambo hayo Kwa ss hamnaKule nyanda za juu kusini ukipeleka mchumba kutoka Tanga ndugu wanakukatalia kabisa.
Ukikomaa wanaweza wakakufuta hata Kwenye list ya ndugu yao.
Kuna mzee alinisimulia kuwa miaka ya nyuma kuna mwanaume alienda Tanga Kwenye mkonge akaacha mkewe na watoto.
Hakuonekana Kwa muda mrefu.
Akatumwa mdogo mtu kumtafuta naye hakurudi tena
Akatumwa mtoto wa Kaka yake naye hakurudi tena.
Akatumwa binamu naye akapotea
Mjomba vile vile.
Baadaye akatumwa dada mtu.
Kufika huko kakuta ndugu Zake wameoa na Wana familia huko na hawana mipango ya kurudi.
Yeye Ndio akarudisha hiyo taarifa.
Ukawa mwanzo wa kuogopwa Kwa wake wa Tanga. Na ukipangiwa kazi Tanga ndugu wanaanza kuogopa kukupoteza