Mwaka 2003 kwa mara nakanyaga Tanga nilikwenda kwenye mradi wa Malaria nikpangiwa kituo Muheza nikapiga kama mwezi ivi then nikahamishiwa Tanga mjini huu mradi nilitakiwa nikae miezi 3 tu nirudi zangu Dar ila yaliyonikuta kule niliapa lazima nikafanye kazi milele Tanga,kaka Tanga mapenzi yapo mpaka kesho na sio wa bara tu yanayowakuta hata sisi wa pwani pia mfano mimi mpaka naenda Tanga nilikua sijawi kuishi bara ila nilivurugwa ila bahati yangu nilikua bado kijana sana ndio naanza hustle



hua nikipata nafasi naenda TA nakaa hata wiki ni kati ya sehemu ninazozipenda.