Tanga miaka ya themanini lazima ulowee

Yani tanga kuna dabwe la makahaba wakihaya kama Dar?

Unampa mtu akuwekee hela kisa umelala kwake?

Jitu zima unakubali kuogeshwa na kunyolewa vuzi huku unachekelea?

Mvua inapiga wiki nzima ndio inakata?
 
Yani tanga kuna dabwe la makahaba wakihaya kama Dar?

Unampa mtu akuwekee hela kisa umelala kwake?

Jitu zima unakubali kuogeshwa na kunyolewa vuzi huku unachekelea?

Mvua inapiga wiki nzima ndio inakata?
Wahaya mkuu walikuwepo wakiwapoza vijana na wengine walijifundishia huko kulingana na udomo zege,mchawi mpe mtoto alee,mvua za masika ilikuwa siku 7 none stop
 
c5e14ab4f2e7fd65e860b3bb6db5c5f8.jpg
karibuni tanga jamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom