madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,421
- 864
- Thread starter
- #101
Nenda kapime maji kwa mguuHahahahah nina mpango wa kwenda huko nadhani mambo hayo Kwa ss hamna
Nenda kapime maji kwa mguuHahahahah nina mpango wa kwenda huko nadhani mambo hayo Kwa ss hamna
duh! nipo kwemkuna hapakwabutu...ukoo wetu uko pale
wabondei pyua
Kawaida tu tulishawahi kuishi na mdada wa kitanga alikuwa mstaarabuUkiolewa tafuta msichana wa kazi wa kitanga.utajua kwanini.
Ndiyo ni wastaarabu, ila sasa Tanga Tanga WatangaKawaida tu tulishawahi kuishi na mdada wa kitanga alikuwa mstaarabu
Wanajali sana.wanajua kumuhudumia mwanamme kama wake.n.kKawaida tu tulishawahi kuishi na mdada wa kitanga alikuwa mstaarabu
Na pia nilijenga familiaHongera kwa kutelekeza familia yako
Haswaa kwa hakikaWanajali sana.wanajua kumuhudumia mwanamme kama wake.n.k
Wasafi na mapenzi wanayajua.na kubembeleza pia.
Wana mengi ila haya machache.pia wanajua kupika.
Labda sijuiNdiyo ni wastaarabu, ila sasa Tanga Tanga Watanga
Nilikutana na mtoto wa kisambaa wa soni.Haswaa kwa hakika
Mmhhh ni shemeji zetu haoNilikutana na mtoto wa kisambaa wa soni.
Kwa kweli nilijuta kupendwa.wana penda vibaya.mpaka mwisho nikamwambia mama bora tuachane.
Wanawake wa kisambaa kiboko.Mmhhh ni shemeji zetu hao
Nalitambua hilo mkuu halafu ni wazuri akiwa mweupe ni zaidi ya mwarabuWanawake wa kisambaa kiboko.
Na wana msimamo kiongozi.akisema nimekupenda wewe amekupenda wewe kweli.sijui kwa wanawake wengine.ila kwa huyu alikuwa hivyo.tatizo WIVU.ukirudi kutoka kazini kama una safari zako umalize kabisa.sio urudi nyumbani ndo utoke,una tafuta ugomvi.
Nalitambua hilo mkuu halafu ni wazuri akiwa mweupe ni zaidi ya mwarabu
.Sasa cha ajabu wadigo walikuwa wakiletwa Uhamisho Tabora .akifika na kurudisha family yake Tanga likizo ndoo jumla hairudi tena huku mdigo anafunga ndoa na mtoto wa kinyamwezi na harudi tena Tanga. Tabora ni balaa.Tanga noma
Madem wa kitanga watamu balaa halafu wana viuno hivyo 6 kwa 6 raha sana
Wengi wanalijua hawawezi kasirika tanga kabila tatu ndio zinawakilisha zaidi katika hiyo mambo mdigo,mbondei na msambaa ni hataree![]()
![]()
![]()
.
Acha niishie hapo.
Makabila mengine yasije yakaona wivu.
TANGA RAHA.
Mhh huku tanga wapo wakina masanja,magongo....., ndani ya koo za kidigo vipi hukoooSasa cha ajabu wadigo walikuwa wakiletwa Uhamisho Tabora .akifika na kurudisha family yake Tanga likizo ndoo jumla hairudi tena huku mdigo anafunga ndoa na mtoto wa kinyamwezi na harudi tena Tanga. Tabora ni balaa.
salute sana aaanina!!!!