Tanga miaka ya themanini lazima ulowee

Tanga miaka ya themanini lazima ulowee

Tuna week sasa hapa nyumbani. Ugomvi wa kifamilia dogo kamaliza masomo yake tanga lakini amegoma kurudi.. Anadai atafutiwe kazi au biashara yoyote. Yeye ameamua kufanya maisha yake yote tanga.
Hahahaa...
Muacheni bana. Ameshakua huyo
 
Kule nyanda za juu kusini ukipeleka mchumba kutoka Tanga ndugu wanakukatalia kabisa.
Ukikomaa wanaweza wakakufuta hata Kwenye list ya ndugu yao.
Kuna mzee alinisimulia kuwa miaka ya nyuma kuna mwanaume alienda Tanga Kwenye mkonge akaacha mkewe na watoto.
Hakuonekana Kwa muda mrefu.
Akatumwa mdogo mtu kumtafuta naye hakurudi tena
Akatumwa mtoto wa Kaka yake naye hakurudi tena.
Akatumwa binamu naye akapotea
Mjomba vile vile.
Baadaye akatumwa dada mtu.
Kufika huko kakuta ndugu Zake wameoa na Wana familia huko na hawana mipango ya kurudi.
Yeye Ndio akarudisha hiyo taarifa.
Ukawa mwanzo wa kuogopwa Kwa wake wa Tanga. Na ukipangiwa kazi Tanga ndugu wanaanza kuogopa kukupoteza
 
Kwenu unaona kama jela
 
Chezea tanga weyee
06d6fc996c5ee0d7d77de5bb820af8bc.jpg
 
Back
Top Bottom