platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,517
Kuna jamaa aliwekewa wali kwenye kisahani kidogo na samaki wa kupaka ..msosi umepambwa na asumini jamaa akala mpaka asumini..kwenye kuoga kashangaa hashua zinawekwa kwenye kisosi zinasuguliwa..hatari sana...
Mgosi