TANESCO ya Rais Samia , Iache Uhuni , Watanzania walifunuliwa Macho na Hayati Magufuli!!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,040
71,276
Et Mgao wa Umeme kuanzia 15--18/9 .

Sababu , Kupungua Kiwango Cha maji pale Kihansi na Pangani .......... Niwaulize, Kwa hiyo kuanzia tarehe 19 , Maji hapo Kihansi na Pangani yatakua yamejaa ?????? ACHENI UHUNI.!!.

Mbona wakazi wanaozunguka maeneo hayo wanakiri kutokupungua Kwa maji ??.


TANESCO ACHENI UHUNI, Lengo lenu ni kutaka kuwaaminisha Watanzania kua Mradi wa JNHEPP, Hauna maana sana kwakua nao unategemea Maji ambayo pia yatapungua??


TANESCO YA RAIS SAMIA , kuweni na Aibu, kuweni wazalendo, wapendeni Watanzania, msiangalie matumbo yenu kupitia biashara zenu za Majenereta !!.

Watanzania wanajua, Kuna wakati mlifungulia Maji ili biashara zenu za Majenereta ziende.

Watanzania wanajua kua Kwa miaka 5 ya Hayati Magufuli, Hakukuwahi kua na katakata Sijui Mgao ... Kwamba mitambo ilimuogopa JPM??.


TANESCO YA RAIS SAMIA, mlipoanza kazi zenu tu ,migao ya umeme ilianza mkidai ni matengenezo ya mitambo, na Leo ni zaidi ya Mwaka na miezi kadhaaa sababu ni ileile ya Utengenezaji wa mitambo ili hali Kwa miaka 5 yote ya JPM hakuua na Kelele hizo !!.


Mmeanza biashara zenu za Majenereta ???? Na Masola??

Kwanini watu mnaopewa Mamlaka ya kuwatumikia na kuwafanya Wananchi wafurahie utanzania wao, nyie ndo mstari wa mbele kuwakandamiza ??.

Kuunganishwa Umeme Gharama za Ajabu!!! Sasa mnawaletea Watanzania ,Habari za migao masaaa zaidi 10??.


Makamba !!!!

Screenshot_2022-09-15-13-05-19-777_org.mozilla.firefox_2 (1).jpg
 
kipara ni seti tupu eti inayotegemea kuja kua rais wa nchi... nchi ya hovyo sana hii hadi kipara anawaza kuongoza nchi wakati wizara ya nishati tu imemshinda yeye kazi yake kuzurura tu kufanya michango ya kuwania urais 2030. Ni muda sasa wa Chadema kujiweka kimkakati wabongo wameichoka ccm mpaka basi.
 
Ila ni lini sisi WADANGANYIKA tutachoka!!!???

ni lini Tutaitoa hii sirikali madarakani???

Hivi ni mimi mwenyew naona uchungu au kuna wengine wana-feel kama mimi.

BINAFSI NIMECHOKA NA HII NCHIII
 
Mungu aendelee kumpa afya njema mama Samia Suluhu Hassan. Aendelee kunipa uhai ili kwa mara ya kwanza nimchague Rais wa tiketi CCM.

Tutaelewana tu. Mungu yu mwema daima.
 
Back
Top Bottom